Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Zinapatikana sana machame kijiji kinaitwa Romu kuna Muzungu moja ana shamba kubwa sana huku wilaya ya hai
 
Kilo moja nasikia 40,000 ndio maana imekuwa deal hizo vitu. Ukiziona zikusanye fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…