Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Nasikia zipo Tanga ila sijui sehemu
 
Lushoto mlalooo au Bumbuli seh moja wanaita Sakharani
 
Kaka sema soko liko wapi maana hizi mbinga zinaitwa karanga miti tuchangamkie zinapatikana tu kwa wingi sema wapi soko au toa number tuchangamkie fursa

Macadamia Mbinga yapo nimeenda vijijini wakanipa ndoo nzima niondoke nayo.
Wao hawayatumii wala hawahangaiki kuyatunza yalipandwa na mababu tangu ukoloni.
 
Hivi kwann Jf administrators wameona ni vyema kutoa muda halisi post ilipotumwa??? Kwa hili Jf binafsi naona mmezingua sana!!! Yaan mtu unasoma post na huwezi kujua imeandikwa lini ama muda gani hili ni ttzo hata kuuliza swali ni utata
 
Aaaahh kudadeki kumbe hizi zaga ni helaaa!!!!! Huko tukuyu madogo wanazichezea sana mpka wakichoka wanaanza kubondana tu na hzo zaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…