Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Home kuna mti niliupanda zaidi ya miaka 8 umezaa sasa sijui unakula mbichi unazipika au unazifanya je?
 
Kama ndizo zile zenye ganda la rangi ya kaki na umbo la raundi na Miche yake inakua kuufuata mti kwani Ina kamba jina lake ni kweme! Wale waliobahatika kufika Moshi vijijini na hai watakuwa wanazijua sana!
 
Kama ndizo zile zenye ganda la rangi ya kaki na umbo la raundi na Miche yake inakua kuufuata mti kwani Ina kamba kina lake ni kweme! Wale waliobahatika kufika Moshi vijijini na hai watakuwa wanazijua sana!
 
Picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…