Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Chakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?


Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.

Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -

Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?


Aah nimechoka kuandika....!!
 
Mie ni mpenzi sana sana wa madiko diko miss natafta!..kuna hotel moja nilikula mchicha wao😋😋..ukanibariki sana huo mchicha..leo nimeupika!
Kaanga km unavyokaanga mchicha wako..ila ukiepua ndo unaweka vitunguu vyako sasa..viwe vingi..jaman kitu kinatoka na ladha ya ajabu!
Likizo tym!
 
Napenda sana mchele mchele I mean.wali na pilau plus kuku.yaani nikimuona hata kuku kakatiza mahali nachanganyikiwa yaani
 
Umesahau unapenda kuvaa ila hupend kufua
 
Naomba nialike siku nije nijisithibitishie haya usemayo Mamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…