Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Unataka ukajichagulie mmoja e?
Hapana mama, halafu nikupeleke wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ukajichagulie mmoja e?
Hapana mama, halafu nikupeleke wapi?
Nimeridhika na hiyo hapana tu
Chugumawe ndo njugumawe!mie ht kwa bastola sili[emoji6]!
Aah we myb hujazipatia kwenye mapishiChugumawe ndo njugumawe!mie ht kwa bastola sili😉!
Napenda sana mchele mchele I mean.wali na pilau plus kuku.yaani nikimuona hata kuku kakatiza mahali nachanganyikiwa yaaniChakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?
Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.
Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -
Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?
Aah nimechoka kuandika....!!
Vinywaji napenda pia yorgut saaana si unajua inasaidia pia papuchi iwe na afyaChugumawe ndo njugumawe!mie ht kwa bastola sili[emoji6]!
Ikoje hio Mkurugenzi??? Hongera kwa Ugeni nimekuona unauliza swali kwa hisia sanaladha ya ajabu!
Nini
56Umejieleza vizur kweli,,
Una kilo ngapi now...
Unataka ukajichagulie mmoja e?
Khaaa!![emoji87][emoji87]Vinywaji napenda pia yorgut saaana si unajua inasaidia pia papuchi iwe na afya
Chakula ( vya) gani unapendelea sana, na chakula gani uwa unakula ili mradi tu usife?
Me napenda wali maharage + chugumawe + kachumbari
Ndizi nyama
Ugali maini, nyama choma au ugali rosti la dagaa wa mwanza.
Chakula nachokula ili nisife ni tambi.
Fav drinks wine, juice, yoghurt ' vipi wewe?
Matunda nakula yote kasoro fenesi -
Napenda kupika ila sipendi kuosha vyombo ' vipi wewe?
Aah nimechoka kuandika....!!
Mie ni mpenzi sana sana wa madiko diko miss natafta!..kuna hotel moja nilikula mchicha wao[emoji39][emoji39]..ukanibariki sana huo mchicha..leo nimeupika!
Kaanga km unavyokaanga mchicha wako..ila ukiepua ndo unaweka vitunguu vyako sasa..viwe vingi..jaman kitu kinatoka na ladha ya ajabu!
Likizo tym!