Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Best nafanya juhudi za kujivua gamba 🤣 🤣 kwa hiyo kwa kiswahili rahisi vitunguu tunaweka vibichi?Yaan ww ni zaidi ya senior😅😅 .sijui hujioni😜😜!katakata vitunuu vingi kaanga mchicha wako..ukishaukaanga ukishaushusha jikoni mwagia juu vitunguu vyako!ulika unapata taste moja nzuri sana