Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

Yaani kuna sehemu nilienda nikakuta bei ya nyama aina zote ni moja. ukitaka nyama ya mbuzi kilo 6000/- ukitaka ya kitimoto 6000/- ngombe, ukitaka kuku elfu 6 ukitaka nyama ya ngombe bei hiyo hiyo. kimoyo moyo nikajisemea FursaKibao si nikikaa huku nitakuwa na kitambi in no time? baada ya siku 3 nikarudi zangu mjini.

🤣🤣🤣...mie nyama jaman😋😋😋😋!yaan unabadilisha ww .unataka wa kuoka au fried..mwe!
 
🤣🤣🤣...mie nyama jaman😋😋😋😋!yaan unabadilisha ww .unataka wa kuoka au fried..mwe!
Huko ni Noma kama ATCL ingekuwa inatua basi ungepokea vindoo vya minofu tu.

Jamani wauliza maswali Dont be distracted na maongezi yetu. mtoa uzi anasubiri maswali yenu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Jamni nikija kule kwako mm usinipikie maharage jamani!cheza na mazao ya nyamaaa😅😅!

Hofu ondoa kumbuka wote tuna asili ya ufugaji kwa hiyo utapata hata kasungura na side dish maharage ya nazi, kama nakuona ukila huku umeshika tama😂🤣😂. Katika jamii ya kunde napenda sana maharage
 
Nta
Hofu ondoa kumbuka wote tuna asili ya ufugaji kwa hiyo utapata hata kasungura na side dish maharage ya nazi, kama nakuona ukila huku umeshika tama😂🤣😂. Katika jamii ya kunde napenda sana maharage

Ntakuja na ratiba nini napend nile...!alafu bi mdashi wangu ameniambia huko kuna hossy nzuri ya misheni ya masisita?!ni kweli!nasumbuliwa ulcers hatari!anaisifia balaa..ni kweli ipo?
 
Back
Top Bottom