Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

[emoji28][emoji28]umejuaje?ukisikia basi...niko loose balaa!ukisikia mtu anatafta nakuomba sana niweke!nisitiri mwanajf mwenzako!
Rafiki yako amepita msamvu leo asubuhi anaelekea dodoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]
 
Dah! Miaka buku siweki hayo mazaga na mwenzake makope...
Paka hennah zitapunguza kukatika, me za miguuni ndio laini .....unafua kila siku? Duh hongera mwaya [emoji8] kufua kipaji
Henna ipi mama? Maana hizi za pakti zinaharibu kucha.

Sipendi kufua, hivyo nikizirundika nitaumwa. Dawa ni kufua kila siku, nikivua nafua.
 
Kucha zangu mie laini kila nikifua zinakatika tu zenyewe na ukizingatia ndio nafua kila siku. Basi nashindwa kuzifuga, ila napenda sana kucha ndefu ila sio za kubandika.
Hakii nishasahau kufua.mashine au deiwaka.nimekuwa mvivuu.hata chupi sivai. Ili nisifue
 
Henna ipi mama? Maana hizi za pakti zinaharibu kucha.

Sipendi kufua, hivyo nikizirundika nitaumwa. Dawa ni kufua kila siku, nikivua nafua.
Henna ya pakti ndio ipoje? Me natumiaga zile za tube

Mtoto mlaini akirundika ataumwa 😂😂🏃🏃
 
Henna ya pakti ndio ipoje? Me natumiaga zile za tube

Mtoto mlaini akirundika ataumwa [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Hizo hizo bwana ndizo nilimaanisha.
Khaaaaah!! We kufua unadhani mchezo[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…