KAMANDA
hakiachwi kitu, tuliachia mungu tukaishia kumchagua kikwete
miaka hii kila kitu kinahitaji in epth analysis mkuu

mimi hiyo bunduki tu.....
very true fidel.... ndio maana ni lazima kufanya QA mapema mkuu
tusije tukakutana St. Joseph tunasali rozari saa saba mchana kumbe kimewaka home

I am very happy King'asti and Nyumba Kubwa are bringing a new dynamics to who is responsible when things go wrong in relationships

Ni kwamba lazima muwe responsible...
Wakuu,
Many of us have at least once enjoyed the best out of love life... I have had my best moments as well!!
I am just wondering how can one prepare for a life after the person you have loved and enjoyed life with for 10+ years, have you ever imagined how it feels?
MTM
Nachokiona tumekuwa wepesi na wabinafsi kuamini matatizo ya relationship zetu yamesababishwa na upande mmoja..........inawezekana vipi kumkimbia mtu uliyemfurahia na kumpenda kwa miaka kumi kufuata kivuli usichokiona/kijui.MTM zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Na mengine yanakula mpaka mfupa wa mwisho....
Sidhani kama ni sahihi kukubali kuishi bila furaha/amani/upendo na mtu ulimzoea sijui unaemjua kisa tu unaogopa usichokijua!!!
Lizzy ten good years halafu unasema mwenzako ndio ameondoa furaha yako,wewe umechangia nini kwenye yale yanayotokea kwenye mahusiano yako leo? unataka kuniambia hatuna la kujilaumu hata moja kwenye yale tunayotendewa au ndio tunataka kujigeuza malaika ndani ya ushetani?.
Tatizo Chauro hajasoma comments zote akaelewa jinsi tulivyochambua hii mada
Lizzy ten good years halafu unasema mwenzako ndio ameondoa furaha yako,wewe umechangia nini kwenye yale yanayotokea kwenye mahusiano yako leo? unataka kuniambia hatuna la kujilaumu hata moja kwenye yale tunayotendewa au ndio tunataka kujigeuza malaika ndani ya ushetani?.
Kweli kabisa nimesoma post no 1 tu nikikaa sawa nitapitia zote.
Wakuu,
Many of us have at least once enjoyed the best out of love life... I have had my best moments as well!!
I am just wondering how can one prepare for a life after the person you have loved and enjoyed life with for 10+ years, have you ever imagined how it feels?
MTM
Habari ya week end Chauroooooooo
Uzuri ni kwamba sijasema nani atakua amechangia kuondoka kwa hiyo furaha kwa kiasi kikubwa.Inawezekana ni huyo anaetaka kuondoka kwa kugundua kwamba hampendi tena mwenzake/mtazamo wake juu ya mwenzi wake umebadili and not in a good way/anahisi hawana tena connection hivyo anashindwa kuyafurahia mahusiano yao...kitende ambacho unaweza kuta kinamuathiri na mwenzie pia kwa kiasi chake.Sasa waendelee kunyanyasana kwasababu tu ya "zimwi likujualo"....?!Bado sidhani kama ni haki kwa upande wowote ule.Kuna wakati inabidi wote wawili mkae chini na kukubali kwamba TULIKUA...ulinifurahisha nikakufurahisha..ulinipenda nikakupenda...uliniridhisha nikakuridhisa ila sasa hivi yale yote yaliyotuunganisha hayapo tena hivyo tupeane nafasi ya kuangalia ustaarabu mwingine kwa faida yetu sote.
Orayt.......lemme do the needful......... Otherwise ntakuhamisha meza mazee.... ngumi jiwe!!!!nothing but love dude
soma thread nzima mkuu, usiwe kama chauro... you are waaayy to old for that

4 years nimechanganyikiwa sijui ingekuwa 10 years ingekuwaje!!..memories will never fade!

Pia kama mmeachana vizuri, mtabaki kuwa marafiki (hata kama hamuwasiliano yani hamna ugomvi)..sasa kama mmeachana vibaya hapo ndiyo tatizo..in my case, mtu nilikuwa nampenda sana yani sikuamini nimempoteza!! yes maisha yanaendelea lakini sitomsahau!!!