Kama kweli kisa cha Adam n Eve kilitokea, sielewi kwanini mungu kamuua twende kuishi mbinguni. Au kakubali kwamba his creation on earth is not perfect? Eti duniani tunapita. Sasa si agetuumba kama malaika tu.
Mambo ya kutesanatesana, kujaribianajaribiana, imani, vya nini?? Kwanza it just prooves how imperfect,inhuman (unsympathetic), dramatic God is...what does it do to god ukimwamwini au usipowamini? Throu out history watu wamekufa through the worst ways imaginable. Kama Mungu anataka haki itendeke, afanye hapa, sasa hivi, bila mtu kupata maumivu yasiolezeka. Mtu aliyekufa kwa kuchomwa moto kwasababu ya kumwamini yesu, haki yake hajapewa. Hata akifufuliwa it stil wont be fair. Alishakosewa. Alishaumia. And if god can do it now, why not? Sababu za kijinga jinga tu. Mungu angekua binadamu mngesema ni KATILI, hitler na idd amin hafikii.
I dont know if there is life after death. Binadamu tunapenda kuishi, tunaogopa kufa, ndomaana tunajipa moyo in life after death. Personaly, kama kuna kitu/mtu anaweza kunipa life again, iwe hapa duniani, nikiwa mimi. I like the food, the music, the people i love, the SEX. Mambo ya mbinguni sijui wapi sitaki. Kwanza mbinguni mnaenda kumwimbia mungu wenu nyimbo za wakatoliki, KILA SIKU. akha. Let me see if your god will burn me forever kisa nimekataa tu kumwamini, lakini waislamu wake wanaoua makafiri wanaenda huko mbinguni