mkuu, sio dini zetu zinazotuaminisha kwan hata mababu zetu kabla ya din kuingia waliamini kuwa mtu akifa anakuwa katika mfumo mwingine wa maisha kama vile mizimu, miungu nk. walisadikika kuwa ni watu waliokufa
mkuu ukifa umekufa
There is life spiritual life after physical (bodily) death. For a man is A SPIRIT, he has a SOUL, and lives in a BODY. So ni ufinyu wa mawazo kama mtu anafikiri kuwa binadamu halisi ni hili dude la nje lenye nyama tunaloliita mwili...! There is more than that, hata hapo ulipo jiulize, wewe halisi ni yule watu wanayekuona nje au ni yule unayejifahaam ulivyo ndani yako??? na SPIRITS DON'T DIE they live FOREVER.
hakika wewe ni ibambasi.,, naamini unajua maana halisi ya jina lako
samahani mpendwa ingekuwa vema kama unge thibitisha ukweli wa hayo maandiko matakatifu coz usije ukawa unatusimulia hadith za sungura na fisi.
Kama kweli kisa cha Adam n Eve kilitokea, sielewi kwanini mungu kamuua twende kuishi mbinguni. Au kakubali kwamba his creation on earth is not perfect? Eti duniani tunapita. Sasa si agetuumba kama malaika tu.
Mambo ya kutesanatesana, kujaribianajaribiana, imani, vya nini?? Kwanza it just prooves how imperfect,inhuman (unsympathetic), dramatic God is...what does it do to god ukimwamwini au usipowamini? Throu out history watu wamekufa through the worst ways imaginable. Kama Mungu anataka haki itendeke, afanye hapa, sasa hivi, bila mtu kupata maumivu yasiolezeka. Mtu aliyekufa kwa kuchomwa moto kwasababu ya kumwamini yesu, haki yake hajapewa. Hata akifufuliwa it stil wont be fair. Alishakosewa. Alishaumia. And if god can do it now, why not? Sababu za kijinga jinga tu. Mungu angekua binadamu mngesema ni KATILI, hitler na idd amin hafikii.
I dont know if there is life after death. Binadamu tunapenda kuishi, tunaogopa kufa, ndomaana tunajipa moyo in life after death. Personaly, kama kuna kitu/mtu anaweza kunipa life again, iwe hapa duniani, nikiwa mimi. I like the food, the music, the people i love, the SEX. Mambo ya mbinguni sijui wapi sitaki. Kwanza mbinguni mnaenda kumwimbia mungu wenu nyimbo za wakatoliki, KILA SIKU. akha. Let me see if your god will burn me forever kisa nimekataa tu kumwamini, lakini waislamu wake wanaoua makafiri wanaenda huko mbinguni
Igwe like this,.....Sidhani kama kulikua na zelous christian kama mimi shuleni. Tena nilikua nataniwa mtoto wa mama rwakatare. Nilikua shahidi wa yehova, kila jumamosi mnaenda kuhubiri majumbani kwa watu. HOW EMBARASIN.....Untill i started thinking for myself. Everything doesnt make sense. KWENYE DINI ZOTE..ukishaanza dini na story ya adam na eve tu basi, nakupiga chini. I wonder if people take the time to think of that story and see if it would make sense if it was real. Ukiongeza na maovu yanayotendeka? Sijaona dini inayonipa sababu nzuri zaidi ya kurudisha blame kwa victim. Kama itakua kweli basi. Nachojua sijamuumiza mtu, infact as an agnostic, i got better plans for the next generations kuliko nyie wana-dini
Hakuna uwezekano hata kiduchu, kulingana na ushahidi wa kitaaluma uliopo sasa, wa mtu kuweza kuendelea kuishi baada ya kifo cha kibaiolojia.
How do we live after physical death?
Ukifa umekufa, ni uongo wa dini zetu eti kuna maisha baada ya kifo!
What exactly is life?
What is the meaning of life?
What is the beginning of life?
Kama hakuna maisha baada ya kufa kwanini unapokata roho unalia na kumtaja Mungu au Yesu akusaidie? akusaidie usife? na uendelee kuishi duniani mpaka lini? kwanini unaogopa kifo? unaogopa huko unakoelekea usikokujua?