Life after Death: What happens after death?

Life after Death: What happens after death?

Mkuu umeshawai ku meditate???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu sana, bado sijafanikiwa ila pia nimeisha karibisha sana members humu kwenye meditation.

Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!. - JamiiForums

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Yoga, Meditation au Tahajudi. - JamiiForums

Nondo nyingine za kufa mtu
Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection) Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga - JamiiForums
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...

Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi
 
Twende polepole mkuu
Kwa io kila binadamu kaumbwa kwa kusudi lake?? Na sio kwamba wote tumeumbwa kwa kusudi moja??qà

Sent from my iPhone using JamiiForums
kila binaadamu ameumbwa kwa kusudi lake ila kila binaadamu ameumbwa na Mungu kwa namna moja.

Pamoja na kila binaadamu kuwa na kusudi lake, binaadamu wote tuna wajibu wa kumcha Mwenyeezi Mungu, akiyetuumba na kuzishika amri zake.

P.
 
Unaweza kutuambia umejuaje kuwa kila binadamu ameumbwa kwa kusudi lake??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kufa kwa mtu, mti, sisimizi.... au chochote chenye kuishi NI SAWA TU. Sema binadamu kwa akili yake amejifanya kujipa matumaini kuwa kuna maisha baada ya kufa. Ukifa umekufa tu. Hizo ni ndoto za mchana na kujipa matumaini. Linda uahi wako maana hakuna maisha zaidi ya kufa. Mnisamehe mimi ni mgeni msema kweli.
 
Unaweza kutuambia umejuaje kuwa kila binadamu ameumbwa kwa kusudi lake??

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaa anajibu utadhani alikuwepo kwenye kamati ya uumbaji

Hicho kiwango Cha umuhimu anachozungumzia_ hata kwa kwenda chooni atakuambia mende wanashukuru na unakuwa umetimiza wajibu wako

Ukimtia mtu mapanga utaambia ndio kusudi hilo_hapo ilipojitega hawezi kukosa sababu

Anyway ni mfariji mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri hivyo unavyoishi wewe ndio ulipaswa kuishi hivyo au unapaswa uishi hivyo ?
Wewe ulitaka niishi vipi huko nyuma na niishije kwa sasa...?

Lengo la kuumbwa mwanadamj liko wazi.[emoji6] Usie lijua ni wewe na wale wa mfano wako. Hivi kwa akili ya kawaida ni kweli tuwepo duniani bila lengo maalumu ?

Nipo ...
Acha kujifaragua_ Lengo hulijui

Wewe na wenzako wa mfano wako ndio mnamini katika mazoezi yenu ya kukata wese kwenye vijumba vyenu vya ibada_Eti ndio kuwa Lengo la kuumbwa..! shame on You

Mnasababu gani zingine zenye kutumia akili ambazo ukitoa mtu atakuelewa

Na kuamini uumbaji ni jambo moja tu_ambalo bado halitoshelezi kiu ya kujua Lengo halisi la wanyama wengi kwenye Zoo hii

Tena inaongeza maswali mengi kwa huyo muumbaji na na wewe unayejifaragua kumsemea_huku unajilisha upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitaka niishi vipi huko nyuma na niishije kwa sasa...?

Sipaswi kucheka hapa,ila hukustahili kuuliza swali kama hili bali ulitakiwa ujibu swali nililo kuuliza.

Nakupa tena fursa ya kujibu maswali yangu sababu hujajibu maswali na laiti kama ungekuwa unafikiri ungewaza mambo kwa usahihi wake.

Narudi hapa,lengo la mwanadamu kuumbwa ni kumuabudu yule aliye muumba.
 
Mnasababu gani zingine zenye kutumia akili ambazo ukitoa mtu atakuelewa

Naona unaipa akili kipao mbele sana kuliko njia nyingine za kupata maarifa na ukweli kama ulivyo. Akili ina mipaka yake na huwezi kuyajua maumbile na lengo la kuumbwa kwako kwa kutumia akili pekee na akili haiwezi kuvidiriki vile ambavyo viko nje ya mipaka yake,nduo maana katika suala la ukamilifu akili ikapewa wenza.

Kwahiyo wewe ni mangapi huwezi kuyadiriki wa kutumia akili yako ? Kama hili hulijui basi wewe ni mjinga wa kupigiwa mfano.

Mangapi umeambiwa unayo paswa kutumia akili na ni ya kweli lakini unayapinga ? Sasa akili ina pande mbili,kuna akili salama na akili isiyo salama,hii ya pili ni matokeo na ya kwanza ndio asili.

Nipo......
 
Kuna vyanzo viwili ambavyo hueleza Maisha baada ya kifo (life after death), 1 fikra za mwanadamu mwenyewe (human experience) 2na neno la mungu (word of God).
kwa mawazo ya mwanadamu kuna theories na ideas nyingi sana zinazoelezea Maisha baada ya kifo lakini zote hazitoi jibu la kweli kwakua hakuna aliyewahi kufa akarudi, siri iyo anabakinayo maiti pekee.
Jibu la kweli kwamba kuna Maisha au hakuna Maisha baada ya kufa tunalipata katika vitabu vya dini pekee (neno la mungu).
Bibilia takatifu na Qur’an tukufu vyote vinaonyesha kweli kuna Maisha baada ya kifo:
QUR’AN TUKUFU:
ALL-MUUMINUN 23:115-116
Je! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa?
ALL-JAATHIYA
45:24-25 Na walisema: Hapana ila huu uhai wetu wa duniani - twafa na twaishi, na hapana kinacho tuhiliki isipo kuwa dahari.
ALL-MUUMINUN 23:99-104 Lakini wao hawana ilimu ya hayo, ila wao wanadhani tu. Mpaka yanapo mfikia mmoja wao mauti, husema: Mola wangu Mlezi! Nirudishe.
ALL-I’MRAN 3:169 Kipo kikundi katika Watu wa Kitabu wanao penda kukupotezeni; lakini hawapotezi ila nafsi zao, nao wenyewe hawatambui.
BIBILIA TAKATIFU:
YOHANA 5:24: Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele;
YOHANA 11:25: wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
YOHANA11:25-265: Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
MATHAYO 10:28: Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
LUKA 23:42: Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
LUKA 23:42-43: Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaa anajibu utadhani alikuwepo kwenye kamati ya uumbaji

Hicho kiwango Cha umuhimu anachozungumzia_ hata kwa kwenda chooni atakuambia mende wanashukuru na unakuwa umetimiza wajibu wako

Ukimtia mtu mapanga utaambia ndio kusudi hilo_hapo ilipojitega hawezi kukosa sababu

Anyway ni mfariji mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mimi napenda sana kujifunza
Tatizo la watanzania wengi tunapokea taarifa pasipo kujua kiundani zimetoka wapi
Mkuu hapo nimemuuliza amejuaje kuwa tumeumbwa kila mmoja na kusudi lake naona ameshindwa kunijibu au labda ni maneno tu ya kuambiwa hawezi kuya justify.
Mfano mm nikisema binadamu hatuna kusudi lolote hapa duniani. Nitakuwa nakosea??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe ulitaka niishi vipi huko nyuma na niishije kwa sasa...?

Acha kujifaragua_ Lengo hulijui

Wewe na wenzako wa mfano wako ndio mnamini katika mazoezi yenu ya kukata wese kwenye vijumba vyenu vya ibada_Eti ndio kuwa Lengo la kuumbwa..! shame on You

Mnasababu gani zingine zenye kutumia akili ambazo ukitoa mtu atakuelewa

Na kuamini uumbaji ni jambo moja tu_ambalo bado halitoshelezi kiu ya kujua Lengo halisi la wanyama wengi kwenye Zoo hii

Tena inaongeza maswali mengi kwa huyo muumbaji na na wewe unayejifaragua kumsemea_huku unajilisha upepo
Ujinga na kibri ni tatizo kuu la binadamu.

Lengo lako la kuishi katika dunia hii ni lipi?

Nini kinakuongoza katika maamuzi, maisha yako?

Inahitaji utulivu sana kuelewa haya mambo
Mkuu mimi napenda sana kujifunza
Tatizo la watanzania wengi tunapokea taarifa pasipo kujua kiundani zimetoka wapi
Mkuu hapo nimemuuliza amejuaje kuwa tumeumbwa kila mmoja na kusudi lake naona ameshindwa kunijibu au labda ni maneno tu ya kuambiwa hawezi kuya justify.
Mfano mm nikisema binadamu hatuna kusudi lolote hapa duniani. Nitakuwa nakosea??
Kusudi ni "kuinyoosha nchi"
 
The reason so many people believe in an afterlife is because it’s extremely difficult to imagine not having a consciousness.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tunaishi kwa imani. Hakuna akiyekwenda mbinguni halafu akarejea kutuhadithia.

Proof ya life after death, life after life na life before life, ipo kwenye kitu kinaitwa deja Vu, unafika mahali hujawahi kufika hata mara moja, unapata some vivid memories kuwa uliisha fika, unakumbuka upenda ule kuna mti mkubwa wa mbuyu, ukigeuka unauona mbuyu. Mbele kuna mto, unafika mbele unauona Mto.

P
Nakubaliana nawe namh'ala Mayalla
...Mimi huwa inatokea ktk ndoto.
Unaota kuwa kuna kitu kinatokea na mazingira yake... badayeee Jambo Hilo hutokea

But, Kuna uhusiano mkubwa mtu akiwa anatenda mema, na kuweza kuona yajayo kupitia ndoto au spiritual thought

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom