Life after Death: What happens after death?

Life after Death: What happens after death?

Mtu akifa amekufa haendi popote pale. Ukisoma biblia Kitabu cha Mwanzo laana aliyopewa mwanadamu ni Utarudi mavumbini.
Hata Yesu alipokufa alibaki kaburini hadi alipofufuka.
Pia Mtu akifa anabakia hapo alipo inathibitishwa na kurudi kwa Yesu mara ya pili

Mkuu, biblia inasema yesu alipokufa alienda kuzimu kumnyang'anya shetani funuo
 
Ukifa umekufa, ni uongo wa dini zetu eti kuna maisha baada ya kifo!

mkuu, sio dini zetu zinazotuaminisha kwan hata mababu zetu kabla ya din kuingia waliamini kuwa mtu akifa anakuwa katika mfumo mwingine wa maisha kama vile mizimu, miungu nk. walisadikika kuwa ni watu waliokufa
 
maneno bila vidhibitisho hakuna kitu wakuu hakuna maisha baada ya kifo maisha ndo haya kula vizuri uwezavyo kabla ujarudi udongon
 
Umenikumbusha Albums za christoper wallace aka Notorious BIG
1.Ready 2 Die
2.Life after death
 
maneno bila vidhibitisho hakuna kitu wakuu hakuna maisha baada ya kifo maisha ndo haya kula vizuri uwezavyo kabla ujarudi udongon
umenikosha tena kula kweli maana ukifa wengine wanavifaidi no life aftter death
 
Quran has got nobody who has experienced death and rise again.

Angalia aya hizi hapa kwenye surat-AL-A'NKABUUT (QUR-AN, SURA YA 29)

57: Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.

58: Na ambao wameamini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawaweka katika maghorofa
ya Peponi yenye kupitiwa chini yake mito, wakidumu humo. Ni mwema ulioje huo
ujira wa watendao.

59: Ambao walisubiri, na wakamtegemea Mola wao Mlezi.

Nyengine hizi hapa:
63: Na ukiwauliza: Ni nani anaye teremsha maji kutoka mbinguni, na akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake? Bila ya shaka watasema: Ni Mwenyezi Mungu. Sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Bali wengi katika wao hawafahamu

64: Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa wanajua
 
there is no life after death aise ,toka kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewahi kufa akarudi kusema so siammini hii theory ya life after death unless it has proved me wrong
 
Quran has got nobody who has experienced death and rise again.

Qur-an sura ya pili

2:55 And [recall] when you said, "O Moses, we will never believe you until we see Allah outright"; so the thunderbolt took you while you were looking on.

2:56 Then We revived you after your death that perhaps you would be grateful.

Hiyo ni mifano michache tu inayofafanua na kuthibitisha maisha baada ya kufa !!
 
Here is where devor philosopy starts.The concept of life after death is very complex to explain,and if we will manage to do that it be the end of the Earth to whom explain it or a group of Induvidual.
 
there is no life after death aise ,toka kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewahi kufa akarudi kusema so siammini hii theory ya life after death unless it has proved me wrong


Angalia baadhi ya maandiko hayo, hata kama wewe si muumini !!
[h=3]John 11:25[/h] Jesus said to her, "I am the resurrection and the life. Whoever believes in me, though he die, yet shall he live,

[h=3]John 5:24[/h] Truly, truly, I say to you, whoever hears my word and believes him who sent me has eternal life. He does not come into judgment, but has passed from death to life.


[h=3]Luke 23:43[/h] And he said to him, "Truly, I say to you, today you will be with me in Paradise."


[h=3]John 3:16[/h]"For God so loved the world, that he gave his only Son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.


[h=3]Matthew 10:28[/h] And do not fear those who kill the body but cannot kill the soul. Rather fear him who can destroy both soul and body in hell.
 
Angalia baadhi ya maandiko hayo, hata kama wewe si muumini !!
John 11:25

Jesus said to her, "I am the resurrection and the life. Whoever believes in me, though he die, yet shall he live,

John 5:24

Truly, truly, I say to you, whoever hears my word and believes him who sent me has eternal life. He does not come into judgment, but has passed from death to life.


Luke 23:43

And he said to him, "Truly, I say to you, today you will be with me in Paradise."


John 3:16

"For God so loved the world, that he gave his only Son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.


Matthew 10:28

And do not fear those who kill the body but cannot kill the soul. Rather fear him who can destroy both soul and body in hell.
jesus said"Tell My people that My coming is near, I come for My holy people, tell My people that only the saints, that only the saints will see Me."ona na hii pia
 
jesus said"Tell My people that My coming is near, I come for My holy people, tell My people that only the saints, that only the saints will see Me."ona na hii pia

Sasa baadhi ya hao saints si wameshakufa tayari, au hakuna saint aliekufa !!
 
Back
Top Bottom