Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 89
mizimu ni nini?
Mizimu ni dhana(phenomena).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mizimu ni nini?
mizimu ni nini?
Mtu akifa amekufa haendi popote pale. Ukisoma biblia Kitabu cha Mwanzo laana aliyopewa mwanadamu ni Utarudi mavumbini.
Hata Yesu alipokufa alibaki kaburini hadi alipofufuka.
Pia Mtu akifa anabakia hapo alipo inathibitishwa na kurudi kwa Yesu mara ya pili
Ukifa umekufa, ni uongo wa dini zetu eti kuna maisha baada ya kifo!
Mkuu, biblia inasema yesu alipokufa alienda kuzimu kumnyang'anya shetani funuo
hapo hapo ulipo pa soma wewe ukiendelea mbele kidogo mistari inayofuata utaonaSamahani mkuu, tusaidie sehemu gani katika Biblia inaposema/ainisha hivyo.
Ukifa umekufa, ni uongo wa dini zetu eti kuna maisha baada ya kifo!
hapo hapo ulipo pa soma wewe ukiendelea mbele kidogo mistari inayofuata utaona
umenikosha tena kula kweli maana ukifa wengine wanavifaidi no life aftter deathmaneno bila vidhibitisho hakuna kitu wakuu hakuna maisha baada ya kifo maisha ndo haya kula vizuri uwezavyo kabla ujarudi udongon
Quran has got nobody who has experienced death and rise again.
Quran has got nobody who has experienced death and rise again.
there is no life after death aise ,toka kuumbwa kwa ulimwengu hakuna aliyewahi kufa akarudi kusema so siammini hii theory ya life after death unless it has proved me wrong
jesus said"Tell My people that My coming is near, I come for My holy people, tell My people that only the saints, that only the saints will see Me."ona na hii piaAngalia baadhi ya maandiko hayo, hata kama wewe si muumini !!
John 11:25
Jesus said to her, "I am the resurrection and the life. Whoever believes in me, though he die, yet shall he live,
John 5:24
Truly, truly, I say to you, whoever hears my word and believes him who sent me has eternal life. He does not come into judgment, but has passed from death to life.
Luke 23:43
And he said to him, "Truly, I say to you, today you will be with me in Paradise."
John 3:16
"For God so loved the world, that he gave his only Son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.
Matthew 10:28
And do not fear those who kill the body but cannot kill the soul. Rather fear him who can destroy both soul and body in hell.
jesus said"Tell My people that My coming is near, I come for My holy people, tell My people that only the saints, that only the saints will see Me."ona na hii pia
so contradicting aiseesasa baadhi ya hao saints si wameshakufa tayari, au hakuna saint aliekufa !!
so contradicting aisee