2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
inaendelea sehemu ya tatu...
Sababu za uwezekano wa uwepo wa mungu duniani: kuna viumbe vimepita uwezo wa kibinadamu ambavyo wanasayansi wanaviita extraterestrial na wamewahi kuvi-experience katika kazi zao za kitafiti especially Space na Archeology mfano UFO. Ambapo kuna watafiti wanaoamini kuwa hawa extraterrestrial wanataka kuja tena duniani kuungana sisi na ndio chanzo cha maendeleo ya technologia duniani, wanasayansi wengine wanasema hawajui lengo lao. Mfano mwanasayansi mjerumani aliechukuliwa na marekani baada ya vita kuu ya pili na kuwa mkuu wa NASA alikiri kuwa ujuzi wao wanasaidiwa na Alliens.
Pia uchunguzi huu wa extrateresrial unahusisha vitabu vya dini kama Quran(gene, angel, , n.k.) na biblia (kuna satan, demon, angel, ).Pia ushahidi wa kimazingira mfano misri kuna pyramids(Giza) ambayo yapo pia sehemu nyingine duniani na kuna michoro ya watu wenye maumbile ya ajabu ajabu kama vile sura ya kuku kiwiliwili cha binadamu, malaika wana mabawa, kwato, kucha kama za wanyama, n.k. Wansayansi wanasema michoro hii haipo kama coincidence tu ila ni conceptual yakielezea uhalisia wa viumbe ambao binadamu wa kale alikuwa akikutana nao miaka mingi iliyopita. Wanasayansi kwa kutafuta majibu ya maswali yao wanahusisha na vitabu vya dini ili ku-link ideas.
sayansi ya magonjwa ya mimea inakiri kuwa Biblia ndio kitabu pekee cha zamani sana (kikongwe) kinachoelezea magonjwa yaliyokuwepo zama hizo na mpaka leo yapo. Na hapo ndipo panaponifanya nione haja ya kukiamini zaidi kuliko vitabu vingine vya dini.
Wanasayansi wamethibitisha kisayansi kuwepo kwa mapigo kumi ya misri dhidi ya farao yalioandikwa kwenye biblia. . Vitu kama Safina ya Nuhu, msalaba wa yesualiosulibiwa, mji wa suleiman ni miongoni mwa mabaki ya vitu ambavyo vimepatikana vikiwa vimefukiwa ardhini na wanasayansi wanaochimbua (archeologists) kule mashariki ya kati nakuthibitisha yale yaliyomo katika biblia yalitokea kweli.Quran inataja uwepo wa wakristo katika kitabu chao na inakiri uwepo wa yesu na kuzaliwa kwake, uwezo wake wa kuponya na kufufua wafu, yesu kutokuwa na dhambi na hata kuja kuhukumu ulimwengu wakati wa kiama ambavyo ni vitu vinavyoshabiiana na biblia(kitabu kikongwe). Japo inakataa jambo moja kuu la ukombozi wa mwanadamu kupitia thamani ya damu yake yesu pale msalabani. hivyo kuukataa wokovu. kwakuwa biblia inasema tukikataa kwamba yesu hakufa wokovu wetu ni bure
.....itaendelea