Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #181
Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.Sasa kwa sie wenye ma soul mate zaidi ya 100+, inakuaje hapo mkuu..
Kupitia Bible tunaona walio hai ndio wamekuwa wakiwaita wafu.. ila sijaona mfu akimuita alie hai. Yesu alimuita lazaro, Mfalme Saul alienda muita Samuel.. ila inapotokea mtu kufa ( spirit of death ) kuna wakati huendelea kulanda landa katika hilo eneo au familia na kula wengineSoul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.
P
Asante mkuu kwa kuuhuisha huu uzi, nilisahau title na nimekuwa nikiutafuta tokea siku JPM alipotangazwa kuwa ni mfu. Kijazi then JPMWanabodi, wakati tukiwa kwenye maombolezo ya kitaifa ya kumlilia mpendwa JPM, sio vibaya tukakumbushana, tusilie sana na kuomboleza hadi kupitiliza ikawa kufuru, tulie kwa kiasi, tuomboleze kwa kiasi, tusikufuru.
RIP JPM
P
Mkuu Holy Man , huwezi kuona wafu wanapowaita walio hai kwasababu tuko kwenye ulimwengu tofauti, sisi tulio hai tuko kwenye huu ulimwengu wa mwili na wafu wako kwenye ulimwengu wa roho. Mtu unapolala roho yako inaweza kutembelea ulimwengu wa roho, ukawaona marehemu huku ukijiona kama unaota. Wakikuita ukiitika ukakubali, then huku ndio ntolee.Kupitia Bible tunaona walio hai ndio wamekuwa wakiwaita wafu.. ila sijaona mfu akimuita alie hai. Yesu alimuita lazaro, Mfalme Saul alienda muita Samuel.. ila inapotokea mtu kufa ( spirit of death ) kuna wakati huendelea kulanda landa katika hilo eneo au familia na kula wengine
Mkuu hivi Majuzi niliota naongea na Marehemu Babangu!Mkuu Holy Man , huwezi kuona wafu wanapowaita walio hai kwasababu tuko kwenye ulimwengu tofauti, sisi tulio hai tuko kwenye huu ulimwengu wa mwili na wafu wako kwenye ulimwengu wa roho. Mtu unapolala roho yako inaweza kutembelea ulimwengu wa roho, ukawaona marehemu huku ukijiona kama unaota. Wakikuita ukiitika ukakubali, then huku ndio ntolee.
P
Mkuu wewe ni Roho iliyo mwili, una advantage kuliko mfu. Kwa wakati mmoja unaweza kuwa rohoni na unaweza kuwa mwili. Kitu ambacho mfu hana.Mkuu Holy Man , huwezi kuona wafu wanapowaita walio hai kwasababu tuko kwenye ulimwengu tofauti, sisi tulio hai tuko kwenye huu ulimwengu wa mwili na wafu wako kwenye ulimwengu wa roho. Mtu unapolala roho yako inaweza kutembelea ulimwengu wa roho, ukawaona marehemu huku ukijiona kama unaota. Wakikuita ukiitika ukakubali, then huku ndio ntolee.
P
Ndio maana Mimi sitakagi strong relation wala friends. Huwa nakataa hizi habari za kuitana itana after death.Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.
P
Hata ukikataa mambo ya kuitana, ila siku yako ya kuitwa ikifika, hakuna jinsi, lazima utaitika!.Ndio maana Mimi sitakagi strong relation wala friends. Huwa nakataa hizi habari za kuitana itana after death.
Ila ukiitwa si unsitika haraka na soul mate wako?Hata ukikataa mambo ya kuitana, ila siku yako ya kuitwa ikifika, hakuna jinsi, lazima utaitika!.
P
Mtu alie kufa atakuitaje?Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.
P
Mkuu Kitoabu, binadamu ameumbwa kwa sehemu mbili, mwili wa nyama na mwili wa roho, the physical body and the spiritual body or astral body.Mtu alie kufa atakuitaje?
Na nyie acheni kuzingua bhana.
Hiyo ndio sawa na wale wanao sema, eti baada ya kuzikwa ndani ya kaburi hutokea joka kubwa kuja kukuadhibu.
Najiuliza, huko kwa mungu kuna nyoka aina hiyo wangapi? Maana kwa siku dunia inazika ma milioni ya watu!
Story kama hizi ndio zilini fanya nipuuze maswala yahusianayo na mambo ya dini.
Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.
P
Mkuu the muster, kiukweli una bahati sana!. Sii wengi wanaojua kuwa kuna ndoto za aina mbili. Ndoto ndoto tuu za kuota na ndoto za ukweli. Ndoto za kuota tuu ni pale unapolala na kujiotea chochote, ukiamka unakuta kumbe ulikuwa unatoa.Kuna kipindi niliumwa Sana, usiku mmoja nikaota nipo eneo moja zuri Sana, tambarare af kijani. Mbele yangu Kulikua na ndugu zangu ambao walishafariki. Tulikua tumetenganishwa na mto.Eneo lile nilifika kwa kupaa. Ndugu wakawa wananiita na Mimi nikawa nataman kuvuka mto niende. Wakati nimeusogelea mto baba akaniambia rudi wewe wakati wako bado. Nikaacha kwenda na ndoto ikaishia hapo. Kesho yake nilipata nafuu na kutoka hospital
Ule upande wa pili ndio una apply hiki alichokianda paskali, kwa sababu Ile connection mliyonayo inamfanya yule mtu washindwe kumtumia vizuri, so the only solution ni wewe mjoin mwenzako kule alipo. nimeipata toka ushuhuda wa mtu aliyewahi kuchukuliwa msukule na kurudi duniani.Kupitia Bible tunaona walio hai ndio wamekuwa wakiwaita wafu.. ila sijaona mfu akimuita alie hai. Yesu alimuita lazaro, Mfalme Saul alienda muita Samuel.. ila inapotokea mtu kufa ( spirit of death ) kuna wakati huendelea kulanda landa katika hilo eneo au familia na kula wengine
Mkuu @Adverse Effects, ni kweli, kufuatia kuchukuliwa Baba yetu, ujio wangu kwenye familia ya Kasanga ukaifanya nyumba kuwa ndogo, hivyo Mzee K akajenga Mikocheni opposite Kwa Mwalimu Nyerere, tukahamia, ndio nikaendelea kukutana na familia za kishure.Pascal hongera sana, nakumbuka miaka ya 80 na 90 ulikuwa mikocheni( kwa akina Isaac kasanga), enzi hizo mlikuwa na akina Domi Tungaraza, Marizanga na wengineo, mlikuwa vijana wa kileo kweli kweli (enzi hizo).
Mkuu @Adverse Effects, ni kweli, kufuatia kuchukuliwa Baba yetu, ujio wangu kwenye familia ya Kasanga ukaifanya nyumba kuwa ndogo, hivyo Mzee K akajenga Mikocheni opposite Kwa Mwalimu Nyerere, tukahamia, ndio nikaendelea kukutana na familia za kishure.Pascal hongera sana, nakumbuka miaka ya 80 na 90 ulikuwa mikocheni( kwa akina Isaac kasanga), enzi hizo mlikuwa na akina Domi Tungaraza, Marizanga na wengineo, mlikuwa vijana wa kileo kweli kweli (enzi hizo).