Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.

P
Kupitia Bible tunaona walio hai ndio wamekuwa wakiwaita wafu.. ila sijaona mfu akimuita alie hai. Yesu alimuita lazaro, Mfalme Saul alienda muita Samuel.. ila inapotokea mtu kufa ( spirit of death ) kuna wakati huendelea kulanda landa katika hilo eneo au familia na kula wengine
 
Wanabodi, wakati tukiwa kwenye maombolezo ya kitaifa ya kumlilia mpendwa JPM, sio vibaya tukakumbushana, tusilie sana na kuomboleza hadi kupitiliza ikawa kufuru, tulie kwa kiasi, tuomboleze kwa kiasi, tusikufuru.

RIP JPM
P
Asante mkuu kwa kuuhuisha huu uzi, nilisahau title na nimekuwa nikiutafuta tokea siku JPM alipotangazwa kuwa ni mfu. Kijazi then JPM
 
Kupitia Bible tunaona walio hai ndio wamekuwa wakiwaita wafu.. ila sijaona mfu akimuita alie hai. Yesu alimuita lazaro, Mfalme Saul alienda muita Samuel.. ila inapotokea mtu kufa ( spirit of death ) kuna wakati huendelea kulanda landa katika hilo eneo au familia na kula wengine
Mkuu Holy Man , huwezi kuona wafu wanapowaita walio hai kwasababu tuko kwenye ulimwengu tofauti, sisi tulio hai tuko kwenye huu ulimwengu wa mwili na wafu wako kwenye ulimwengu wa roho. Mtu unapolala roho yako inaweza kutembelea ulimwengu wa roho, ukawaona marehemu huku ukijiona kama unaota. Wakikuita ukiitika ukakubali, then huku ndio ntolee.

Mkuu hivi Majuzi niliota naongea na Marehemu Babangu!
Nilipostuka nikagundua ni ndoto nilihuzunika sana kiasi nilitoa machozi! Ninamuota si mara moja! Hivi ndivyo unavyomaanisha?
 
Mkuu Holy Man , huwezi kuona wafu wanapowaita walio hai kwasababu tuko kwenye ulimwengu tofauti, sisi tulio hai tuko kwenye huu ulimwengu wa mwili na wafu wako kwenye ulimwengu wa roho. Mtu unapolala roho yako inaweza kutembelea ulimwengu wa roho, ukawaona marehemu huku ukijiona kama unaota. Wakikuita ukiitika ukakubali, then huku ndio ntolee.

P
Mkuu wewe ni Roho iliyo mwili, una advantage kuliko mfu. Kwa wakati mmoja unaweza kuwa rohoni na unaweza kuwa mwili. Kitu ambacho mfu hana.
 
Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.

P
Mtu alie kufa atakuitaje?
Na nyie acheni kuzingua bhana.

Hiyo ndio sawa na wale wanao sema, eti baada ya kuzikwa ndani ya kaburi hutokea joka kubwa kuja kukuadhibu.

Najiuliza, huko kwa mungu kuna nyoka aina hiyo wangapi? Maana kwa siku dunia inazika ma milioni ya watu!

Story kama hizi ndio zilini fanya nipuuze maswala yahusianayo na mambo ya dini.
 
Mkuu Kitoabu, binadamu ameumbwa kwa sehemu mbili, mwili wa nyama na mwili wa roho, the physical body and the spiritual body or astral body.

Mtu anapokufa ni roho tuu ndio inaacha mwili na kinachokufa ni mwili tuu, lakini roho haifi, hivyo roho za wafu wananaweza kuwaita walio hai wakiwa ndotoni, unajiona kama umewaota marehemu na wanakuita uwafuate, kwasababu tuko kwenye ulimwengu tofauti, sisi tulio hai tuko kwenye huu ulimwengu wa mwili na wafu wako kwenye ulimwengu wa roho. Mtu unapolala roho yako inaweza kutembelea ulimwengu wa roho, ukawaona marehemu huku ukijiona kama unaota. Wakikuita ukiitika ukakubali kuwafuata, ndio safari!.

Kujielimisha zaidi kuhusu life after life, karibu pande hizi
P
 
Kuna kipindi niliumwa Sana, usiku mmoja nikaota nipo eneo moja zuri Sana, tambarare af kijani. Mbele yangu Kulikua na ndugu zangu ambao walishafariki. Tulikua tumetenganishwa na mto.Eneo lile nilifika kwa kupaa. Ndugu wakawa wananiita na Mimi nikawa nataman kuvuka mto niende. Wakati nimeusogelea mto baba akaniambia rudi wewe wakati wako bado. Nikaacha kwenda na ndoto ikaishia hapo. Kesho yake nilipata nafuu na kutoka hospital
Soul mate huwa ni mmoja tuu!. Hao wengine wote ni washikaji, ila pia ukiwa na mshikaji very close, akatangulia...akikuita ukaitika...unamfuata!.

P
 
Kuna kipindi niliumwa Sana, usiku mmoja nikaota nipo eneo moja zuri Sana, tambarare af kijani. Mbele yangu Kulikua na ndugu zangu ambao walishafariki. Tulikua tumetenganishwa na mto.Eneo lile nilifika kwa kupaa. Ndugu wakawa wananiita na Mimi nikawa nataman kuvuka mto niende. Wakati nimeusogelea mto baba akaniambia rudi wewe wakati wako bado. Nikaacha kwenda na ndoto ikaishia hapo. Kesho yake nilipata nafuu na kutoka hospital
Mkuu the muster, kiukweli una bahati sana!. Sii wengi wanaojua kuwa kuna ndoto za aina mbili. Ndoto ndoto tuu za kuota na ndoto za ukweli. Ndoto za kuota tuu ni pale unapolala na kujiotea chochote, ukiamka unakuta kumbe ulikuwa unatoa.

Ndoto za kweli ni mwili wetu una sehemu mbili, huu mwili wa nyama, the physical body na mwili wa roho, the spiritual body. Ndoto za kweli ni wakati umekaa, the spiritual body inaondoka kwenye physical body na kujiunga na the spiritual world, huko inakutana na all forms of spirits, the good, the bad and even evil spirits. Hao uliokuwa ukiwaona kwenye ndoto ni kweli ni marehemu ndugu zako na walikuwa wanakuita kweli, kama ungekubali kuitika na kuvuka mto, kuwafuata, your spiritual body ndio ingeondoka jumla kwa roho yako kuacha mwili, na kesho yake ndugu zako ndio wangekuta wewe ndio ntolee!, it would have been over. Hiyo sauti ya baba ni sauti ya mizimu ya babu zako ilikulinda kukuzuia, ndipo ule mwili ukarudi, akaamka na kuendelea kuwa hai.

Na kama ungekubali kuitika wewe ndio ingekuwa safari kwa kuhama kutoka kwenye physical world into spiritual world, ungewaona jinsi ndugu zako wanavyo kulilia,ungeona jinsi mwili wako unavyopelekwa mortuary, ungeona msiba wako hadi anazikwa, kisha roho yako kuachana na mwili ukirejea mavumbini na roho ikijiunga rasmi na ulimwengu wa roho.

Sasa na wewe huko ungeanza kuita uwapendao kama uliacha mke, unamsumbua, yeye anajiona kama anakuota kumbe ni ndoto ya ukweli.

Hata zile wet dreams, unaota una do, unakuwa ni una do kweli au wanawake anakuwa ana done na ulifika unakuta umechafua pyjama!.

P
 
Nakubaliana kabisa na mtoa mada
Japo sina ushahidi wa kisayansi kuna tukio moja ndani ya familia yetu.
Mjomba wangu alifariki na baada ya muda mkeweakaanza kuugua ,wakati anakaribia kufa alikua anawewe seka anasema anamuona mjomba anamuita na anamwambia njoo huku ni pazuri.
Lakini kwakua hakuna mtu alikua anazingatia sana maneno ya mgonjwa ,hatukuweza kung'amua chochote .baada ya muda shangazi nae aliaga dunia ,kwa maana hii naona mwandishi kuna baadhi ya mambo yanataka kushabiihana na ukweli .
 
Kupitia Bible tunaona walio hai ndio wamekuwa wakiwaita wafu.. ila sijaona mfu akimuita alie hai. Yesu alimuita lazaro, Mfalme Saul alienda muita Samuel.. ila inapotokea mtu kufa ( spirit of death ) kuna wakati huendelea kulanda landa katika hilo eneo au familia na kula wengine
Ule upande wa pili ndio una apply hiki alichokianda paskali, kwa sababu Ile connection mliyonayo inamfanya yule mtu washindwe kumtumia vizuri, so the only solution ni wewe mjoin mwenzako kule alipo. nimeipata toka ushuhuda wa mtu aliyewahi kuchukuliwa msukule na kurudi duniani.
 
Pascal hongera sana, nakumbuka miaka ya 80 na 90 ulikuwa mikocheni( kwa akina Isaac kasanga), enzi hizo mlikuwa na akina Domi Tungaraza, Marizanga na wengineo, mlikuwa vijana wa kileo kweli kweli (enzi hizo).
Mkuu @Adverse Effects, ni kweli, kufuatia kuchukuliwa Baba yetu, ujio wangu kwenye familia ya Kasanga ukaifanya nyumba kuwa ndogo, hivyo Mzee K akajenga Mikocheni opposite Kwa Mwalimu Nyerere, tukahamia, ndio nikaendelea kukutana na familia za kishure.

Domi nimesoma nae darasa moja, last two weeks tulimzika Mama Yao, Leo Saa 10 makaburi ya Kinondoni, tunamzika Mzee Tungaraza, wamepisha na mkewe three weeks apart!.

Hili niliwahi kulisema humu Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

Biblia inasema waliokufa na kumbukumbu lao limesaulika mhubiri 9:5
 
Back
Top Bottom