Kuna kipindi niliumwa Sana, usiku mmoja nikaota nipo eneo moja zuri Sana, tambarare af kijani. Mbele yangu Kulikua na ndugu zangu ambao walishafariki. Tulikua tumetenganishwa na mto.Eneo lile nilifika kwa kupaa. Ndugu wakawa wananiita na Mimi nikawa nataman kuvuka mto niende. Wakati nimeusogelea mto baba akaniambia rudi wewe wakati wako bado. Nikaacha kwenda na ndoto ikaishia hapo. Kesho yake nilipata nafuu na kutoka hospital
Mkuu
the muster, kiukweli una bahati sana!. Sii wengi wanaojua kuwa kuna ndoto za aina mbili. Ndoto ndoto tuu za kuota na ndoto za ukweli. Ndoto za kuota tuu ni pale unapolala na kujiotea chochote, ukiamka unakuta kumbe ulikuwa unatoa.
Ndoto za kweli ni mwili wetu una sehemu mbili, huu mwili wa nyama, the physical body na mwili wa roho, the spiritual body. Ndoto za kweli ni wakati umekaa, the spiritual body inaondoka kwenye physical body na kujiunga na the spiritual world, huko inakutana na all forms of spirits, the good, the bad and even evil spirits. Hao uliokuwa ukiwaona kwenye ndoto ni kweli ni marehemu ndugu zako na walikuwa wanakuita kweli, kama ungekubali kuitika na kuvuka mto, kuwafuata, your spiritual body ndio ingeondoka jumla kwa roho yako kuacha mwili, na kesho yake ndugu zako ndio wangekuta wewe ndio ntolee!, it would have been over. Hiyo sauti ya baba ni sauti ya mizimu ya babu zako ilikulinda kukuzuia, ndipo ule mwili ukarudi, akaamka na kuendelea kuwa hai.
Na kama ungekubali kuitika wewe ndio ingekuwa safari kwa kuhama kutoka kwenye physical world into spiritual world, ungewaona jinsi ndugu zako wanavyo kulilia,ungeona jinsi mwili wako unavyopelekwa mortuary, ungeona msiba wako hadi anazikwa, kisha roho yako kuachana na mwili ukirejea mavumbini na roho ikijiunga rasmi na ulimwengu wa roho.
Sasa na wewe huko ungeanza kuita uwapendao kama uliacha mke, unamsumbua, yeye anajiona kama anakuota kumbe ni ndoto ya ukweli.
Hata zile wet dreams, unaota una do, unakuwa ni una do kweli au wanawake anakuwa ana done na ulifika unakuta umechafua pyjama!.
P