Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Hahaha, pole sana broh
 
Na mm kuna matukio kama mawil matatu hivi dah kila nikikumbuka nacheka😂😂😂

Mwaka jana 2020 nilipita pale Be Forward posta karibu na ocean road,wakati naendelea na kilichonipeleka pale nilibanwa na haja ndogo baada ya kuuliza wenyeji wangu wakanielekeza chooni.

Nimefika chooni nmekuta mtu kaacha zigo juu hajaflash,dah kwa sababu na mm nlikua na haja nkajaribu kuflash bila mafanikio kwa sababu hapakua na maji,nikaona bora nikojoe nisepe,nmemaliz natoka napishana na mdada flani hivi aisee nlijisikia vibaya mno, nlitamani nimwambie usiingie au huo mzigo si wangu ila sikuweza...

Nilisikia bonge la sonyo na "kuna watu sio wastaarabu"😂😂😂basi yule dada nlikua na coincidence nae nikawa naonana nae mara kwa mara mpka kuna siku nilipanda nae mwendokasi na kukaa nae seat moja,nilitamani nmuelezee mzigo haukua wangu ila ndo hivo naanzaje
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hichp choo kinashare wanaume na wanawake wote????

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Tukio lingine ninalo likumbuka ilikua miaka ya nyuma kidogo, nmemaliza kidato cha nne pale nasubiri kwenda A level,hivyo nikasafiri kwenda Moshi kwa ajili ya likizo hiyo ndefu....

Basi bwana,pale mtaani kukawa na sherehe za kipaimara cjui ubarikio sikumbuki vizuri ambae mdogo ake jamaa angu ndo alikua muhusika so nikaalikwa na huyu mshkaji wangu,ukafika muda wa msosi na utaratibu ni kupanga foleni,yule jamaa angu akawa na mishe mishe hivyo na mimi ikanibidi nipange foleni,imefika zamu yangu basi kuna mama wa kipare alikua ana "save" msosi pale,alinifananisha akaniwakia "kaka umeshachukua chakula pisha wenzio nao wapate kama hujashiba utaongeza mwishoni"...aisee nilijisikia vibaya,kwanza watu wengi.

Alafu mimi ni mgeni pale tena "kutoka Dar" sa kadri nilivyokua nakataa ndio yule mama anapaza sauti na kuzua taharuki pale,ilibidi niondoke kitendo kilichoaminisha kweli nlikua narudia,nilidhalilika sana na roho iliniuma sana japo yule jamaa angu aliniomba radhi haikusaidia... nilijifungua ndani muda wote na nikahama na mtaa kabisa nikaenda kuishi Moshi mjini kutoka NewLand😭😭
 
Mwaka flani hv nimeenda zangu maeneo kumtembelea sister,siku hyo sister kasafiri nimebaki na anko 2,ilikuwa wikiend nikaenda zangu kucheki mpira narudi zangu mida kama ya saa 5 hv uck,narudi geti limefungwa,namgongea anko nae kalala kinouma nimekaa kama nusu SAA hv nagonga hakuna kufungua,nikaamua kufungua dirisha nipitie hapo,vile vidirisha vya zamani vinakuwa na nondo katikati aisee,so nikapiga hesabu nikaona kupita na nguo haiwezekani so nikavua nguo nikaziingiza ndani nikabaki na chupi 2 nikajua si napita fasta,

Ile kuanza kupitisha kichwa hakipiti kumbe ni padogo ,kasheshe likaanzia hapo,hangaika wapi, hangaika wapi nikaona jau hili,nikamkumbuka jamaa yangu anakaa mtaa wa pili,ikabidi nitoke pale kwa spidi kali nipo na kichupi 2 nakatiza mtaaan,wikiendi ile mitaa watu wanacjelewa sana kulala so nilikutana na watu wanacheka walijua nimetoka kufumaniwa so nakimbia soo,ile nafika kwa jamaa,jamaa kafungua kunikuta vile anacheka kishenzi,kwa soo lile sikukaa sana ilibidi nirudi home 2
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We jamaa ushakaa Newland? Huenda tunafahamiana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kubabake walay [emoji23][emoji23]
 
Fedheha nayokumbana nayo kila mara ni kama hivi wanaume wa dar na vijihadithi wa kivulana, how come kujisahau tu tena bila nia ovu kuchukua funguo iwe fedheha? Wengine hata kufumaniwa tumefumaniwa sana ila hatukupata fedhedha..
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]...dah we jamaa uliyumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…