Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Nipo kweny gar za kariakoo tumebanana nikawa nyuma ya mama mmoja ustadhat nimebambia kinoma sasa bacoz ya mkanda akadhan nimedindisha alitukana njia nzima
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nimecheka sana fedheha iliyoje hiyo
 
Aisee [emoji22][emoji22]
 
dahhhh ii noma mkuu. sio poa yaani, nmekuonea huruma sana
 
dahhhh mshukuru sana uyo dada
 
Miaka kadhaa nyuma nlikua nafanya degree ya 2 (Masters) nchi moja ulaya. Sasa tukawa tumealikwa na balozi wa Tz kwenye part ya kufunga mwaka na kukaribisha mwaka mpya na kulikua na wanafunzi wa Tz kutoka vyuo tofauti vilivyopo io nchi, wa Tz wanaoishi kule, na watu wengine wengine tofauti wakimemo baadhi ya marafiki na waalikwa (diplomats) wa uyo balozi wa Tz kipindi icho ambao baadhi walikua wazungu.

Io part ilikua na misosi kama yote plus mitungi ndo usiseme ma pombe makali brand zooooooote za dunia.. sijui nlijichanganya nn nikawa nakunywa ilo li pombe kali kama grants au Jameson ivi (jina sikumbuki) alafu baadae nikanywa wine.. nliwaka, nikatapika na badae nikazima kabisa hadi suti nlivoaa ikawa haina maana. baadae jamaa tuliokua tunaosoma nao chuo kimoja wakanirudisha chuon na sikua na kumbukumbu yoyote zaidi ya kabla sijanywa mpaka nlipooneshwa picha. dahh ilikua noma sana baada ya pale ndo ikawa kama ID yangu kwamba jamaa aliezima siku ya part kwa Balozi kila tulipokua tukikutana na jamaa wa vyuo vingine kwenye matukio tofauti. ikafika kipind nikawa sijichanganyi kwenye zile event za wa Tz had nlipomaliza shule kurudi Bongo. Sitosahau
 
Dogo
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
🀣 🀣 🀣
 
🀣 🀣 🀣
 
Kuna mzee wangu mmoja yeye na x ni damdam. Yaani kwenda kwenye hizi video library kujaziwa x kwenye simu yake ni kitu Cha kawaida kwake alafu ni muheshimiwa [emoji23][emoji23].yaani kipindi nasoma alivyo jua tu naweza kuidownload ilikua ni fucho yaani kuniunga na bando la elfu ishirini nimdownlodie nimjazie kwenye flash yake kitu kidogo Sana yaani alinunua Hadi tv kwa ajili ya kuangazia x tu chumbani kwake .[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukijaribu kumshauri tu maswali utakayo ulizwa wewe ndio utajiona fala.

Ila nikaja kumuambia mzee hayo ma video kwa status yako kuyajaza kwenye simu vizuri Bora hata ungekua una stream to on line yeye hataki anataka kuweka kumbukumbu sijui ya nini.

Yaani ilifika sehem alifilisi mtaji wa vocha was duka la mkewe kwa ajiri ya mabando ya kudownlodia x[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hi hadi Leo ni kesi kwa mkewe haliishi wakikosana tu mke lazima adai mtaji wake wa vocha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Bwana wee za mwizi zikafika what's up waliboresha app yao na kutengeneza sehem ya kupost status....uzuri wa huyu mzee nae anajikuta kijana kijana mtundu mtundu....si akapost x status alafu ile x ilikua ya kikatili yule mchizi kambinua manzi mbuzi kagoma manzi tako Kama lote plus kitumbua chote kimejaa screen vizuri kabisa alafu mchizi alikua na bonge la pipe na mikandamizo heavy alafu ni black[emoji39][emoji39] . ... Watu walivyo Anza kuona status ya mzee wakaanza kumpigia alicho kifanya eti akazima simu kubwa yenye what's up akijua wataacha kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee ikawa fundisho Hadi Leo haweki kwenye simu ikabidi ajifunze kustream kwa lazima ......
 
kudadadeki hii kali aiseee
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana
 
Pole sana mkuu. Nimejaribu kuvaa viatu vyako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…