Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] chief uliua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wakaona wapo na kibaka mezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Photoshop [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee! Pole mkuu
 
  1. Huu ujinga wa kuachia hewa kwenye lift ukipanda/kushuka ukiamini hakuna mtu ataingia umenifedhehesha sana hapa mjini
  2. Na kukutwa unajaribisha kiatu cha mgeni licha ya fedheha baada ya mgeni kuondoka unakumbushiwa maadili na mshua
  3. kuendesha pikipiki/baiskeli kwa mbwembwe
 
daaaaaaah fedheha yangu naogopa kuiandika hapa,nita fedheheka zaidi
 
[emoji870]tena
 
Kuna demu mtaani alikuwa wa kishua na huwa hana shobo na mtu wala hasilimii kenge yoyote pale mtaani.Masela wakawa wanamuongelea vibaya sasa siku moja mama yake alikunywa sumu kwa wivu wa mapenzi (baba yake ambae anafanya kazi UN) nashangaa bonge la usiku akaja mbio kuniomba nimpe maziwa(tulikuwa tunafuga ng’ombe) ikabidi familia nzima iamke ili kujua nani huyo anataka maziwa usiku wa manane? mimi kwa uninja wangu nikaenda mbio kwenda kumkamua ng'ombe wetu nikampa kama nusu jagi akabeba huku anakimbia kuelekea kwao huku analia.Nikaona haitoshi kuna dokta mwenye ki dispensary pale jirani na,home nikamcheck akapokea simu kwa sababu alikuwa mchizi wangu sana,ikabidi nimuelezee kilichotokea si akaamka tukaenda kumchukua yule mama na kumtundikia ma dripu.Yule mama baada ya siku 3 akawa na nafuu kumbe lile tendo lilinipa marks kubwa kwa yule demu so mtaa mzima akawa ananisalimu na kuongea na mimi tu(upande wa wavulana).
Siku moja moja sina lile wala hili akashika simu yangu aina ya L6 motorola ili asave namba yake kumbe alinipenda sana the way nilivyojitoa kwa mama yake.Daaa ile anaandika number akakuta namba yake imaseviwa NGEDERE MAPOZI daaa nashangaa ananiuliza hii nini kumbe una namba yangu alafu umenisave jina la ajabu.? Kwa kweli niliona aibu sana siku ile nilikosa cha kusema isitoshe alianza kunipenda na alikuwa anakuja home niliishiwa nguvu asijue kuwa lile jina na namba nililisave,zamani kabla ya tukio la mama yake kula sumu.
WANA WALISHAANZA KUNIPA RESPECT KWA KUWA KARIBU NA YULE MTOTO WA KISHUA.Daaaaa
 
Kusoma uzi huu. Mambo yangu yanakuhusu nini kama siyo umbea?
 
Nimecheka sana mkuu mpaka machozi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni msukuma? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaaaah haaaaaah nmecheka k***
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuma_mae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…