Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Kuna siku nilikuwa nipo na sister angu mitaa ya kariakoo...huyu sister ni mkubwa sana kwangu...amepishana na mama angu mdogo miaka 3 tu...hivo namuheshimu kama mama angu.... Sasa nipo nae mitaa ya kariakoo tunatembea akatokea mmasai akaanza kuniropokea mbele ya sister...aroo nauza dawa ya mb*loo...akaanza kuorodhesha pale kazi zake...aisee nilitamani nikimbie...nilijisikia vibaya tena mbele ya sister[emoji31][emoji31][emoji31]
 
Naanza kwa kucheka afu ghafla huzuni na masononeko yanaghubika moyo wangu duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24]

Ebana siku moja weekend limtarifu rafk yangu kuwa takwend mtembelea home kwao...

Kwel hbana!!, siku ikafika
Mdo mdo nikasogea kwao, haikuw mbali saan kutoka home....

Ebane kafika fresh tu... Kamkuta msera sebuleni anachek movie, bs nam kam kaw kajiunga nae.....

Few minutes later mam yake (wakambo) kafika cjui alikua wapi, katukuta zetu pale duuh[emoji2299][emoji2299]

Kwnza alipo tuona tu akakunja sura ghafla af akasema" wewe(alikua anaitwa juma)likuambiaje kuhus tv,kwnz baba yk ht umeme unamshinda kulipia hapa......"

Duh ukwel neno lile lilinifanya kunisikia vibaya sn,muda huo huo nikaondoka.
 
Kuna siku miaka ya nyuma kidogo, enzi hizo Niko janja tu nasoma sekondari, basi home kulikua na computer desktop ilikuepo home natumia tumia sasa kama unavyojua kompyuta kama hujui kuitunza inavyosumbua.

Sasa ile kompyuta nilikua naitumia lakini ni nzito kimtindo ukiiwasha mpaka ukae muda kidogo, sasa mimi ugonjwa wangu mkubwa ulikua nikiwasha lazima nianze na porn ndo mengine yaendelee.

Sasa bwana kuna siku kama kawaida yangu nimeiwasha, Ile bado haijakaa nikafungua video ya porn, sasa ikawa bado haijafunguka ipo inaload, mara nikaisikia hodi , nafungua mlango naona ndugu zangu fulani ivi wametoka klinik mke na mme wanaomba maji, sasa mme akabaki nje dirishani usawa wa ilipokua kompyuta, huku mke akaingia ndani kuja kunywa maji, Ile nimefata maji nimeleta mke ameanza kunywa BWANA WEEH! si ndo video ikafunguka halafu mbaya zaidi ilikua inaanza na sauti ya demu analia, mara jamaa ambaye alikua mme wa Yule mke nae baada ya kusikia sauti si akaja ndani pia, mimi kuona vile hawakujua hata niliishia wapi, nilifedheheka mno kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gedere mapoz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka 2008 nkiwa kidato Cha pili, nlimfedhesha mama na Mimi mwenyewe, nakumbuka suruali yangu ilikua imechanika nkamuomba mama anipe hela nipeleke kwa fundi,
Nlikua nmesahau kabsa kuwa nmeweka kondom kwenye suruali iyo, mama akiwa na rafiki zake wakikundi akasema lete nione ilivyochanika, bila wasiwasi wowote nkampa,
Kuishisha vitu mwaa chini, nlitaman ardhi inimeze siku ile
 
[emoji3][emoji3][emoji3] at least she Knew you cared for your health, ila sio wamama wa zama zile hahaha
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Jamaa alijua mkewe nn?
 
Nshakukumbuka
 
Dah! Nimekumbuka mbali
Kuna siku nipo kwa demu mmoja nilikuwa namfukuzia alikuwa kwenye kibanda cha tigo pesa

Kumbe maeneo hayo kulikuwa na chizi mmoja ambaye alikuwa anabaishia watu awe mwanaume au mwanamke, mm sina ili wala lile nasikia watu wanapiga kelele unabaishiwa unabaishiwa Ile nageuka akakimbia na alikuwa ashato dudus

Yaani nilijisikia aibu ikabidi nimuage yule demu nikasepa
 
pombeee
nilikosea chumba ucku nikaingia chumba wamelala watoto wa kike wa mazahaus!!
ajabu nikalala hadi asubuhi nakuja kushtuliwa na makelele ya watoto!!
acheni kbs kilichonisaidia najulikana mlevi otherwise ingekuwa msala wa atari.
tokea miaka hiyo kistaarabu tu nakunywa
 
Enzi niko high school mkoa fulani nilikuwa na demu wangu huyo kumtoa ilikuwa kazi sana kwahiyo ilinibidi kuangalia ustaarabu wa kuzama ndichi kwao then ukipiga adhana majeshi kurudi school
Sasa katika kusubiri wasaa muafaka nizame nipo karibu na mjengo nimejibanza kulimwagwa kimiminika cha kunuka sana na kilinipata kwenye tshirt yangu ya fubu vyema ilibidi nigeuke tu kurudi school nikaoga mtoni fresh
Hii ilinikata sana nikaachana nae
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maasai waseng mno
 
Ikawaje mkuu [emoji23][emoji23]
 
Hahahjahajja
 
Umenikumbusha hiyo aibu/kisa chako namba moja

Kuna madame moja alikuwa anatufundisha darasani ile anageuka kuandika ubaoni niliona/tuliona damu zimetiririka/zinatiririka mguuni

Kumbe madame aliingia kwenye siku zake bila yeye kujua

Wanafunzi tuliona tukio hilo laivu kabisa madame aliona aibu mno mpaka wiki mbili zilipita hakuja shuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…