Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]mmasai fala sans
 
Miaka hiyoo nilipokuwa bado bwana mdogo ndio naanza kupendapenda vischana alikuwepo sista du fulani mzuri kiasi chake, nikaanza kumtamani. Shida sasa ikawa kwenye kumtongoza, kila nilipojaribu kumkabili mojakwamoja moyo ukawa unasita nikaona isiwe tabu nikachana karatasi kwenye daftari nikamuandikia barua kisha mimi mwenyewe nikamfuata na kumpa halafu haraka nikatoweka kabla hajaisoma, siku ileile nikaanza kupokea taarifa kwa vijana wenzangu waliokuwa wananihathia kuhusu ile barua huku wananicheka, kumbe yule demu baada ya kuisoma akaamua kumpelekea kila mtu pale mtaani kuwaonesha kuwa namtaka na yeye hanitaki, Dah basi ilikuwa ngumu hata kutoka nyumbani kwa aibu, na kwabahati mbaya barua ile ikafikishwa na nyumbani hapo sasa nikawa nikitoka nyumbani asubuhi sirudi mpaka usiku tena kwa kujifichaficha washkaji wasinone, mtaa niliuona mchungu zaidi ya wiki.
 
Hii AIBU kuliko.

Pisi kali nyeupe Chotara ya Kizambia nimeifukuzia miezi 4 Siku ikanipa penzi mpaka kunakucha....MJESHI KANISALITI lazimisha Wapi??

Niliona aibu Mimi full kukwepana.
dah umenikumbusha kipindi nipo chuo na mm nilipata hii fedheha,

kuna mtoto mmoja pisi kinoma alikua anaishi mkoa jiran na nlipokua nasoma, bas siku hyo nimechat nae jion mida ametoka job nikamchombeza wee mara kajaa kingi(nahisi alikua na genye sana)

jion hyo hyo akapanda bus kuja nilipokua..mm sikuamini kama kweli kaja..nikapata hofu ya ajabu, mda wa mtanange ukafika, tumeanza foreplay mtoto kalainika mpk anamwaga asali, ile kuchukua ndom kuvaa mashine ikasinyaa[emoji30](huwa sipendi kutumia ndom na siku hyo sikua na vile vipimo geto)

hofu ikazidi mana sikumuamini status yake...kajitahidi tena kunipa blowjob ikasimama..ile kuanza kuvaa ndom ikasinyaa tena

Akaniomba tulale..kesho asubuhi kaamka kasepa zake, nilijisikia vbya mno
 
[emoji23][emoji23] hii ilinikutaga pia shuleni ..
 
Back in daiz enziza mzee jakaya nipo chuo babake ..sasa ilikuwa kipindi cha mitihani kumaliza semester.Kama ilivyo desturi chuo kipindi cha mitihani watu wanakuwaga nyomi yani hadi wazee wa kudoji..mabraza men na masista duuh wapo wazee wa kusoma siku za mtihani tu yani chuo kinatapika.
Sasa ilikuwa jion nikaona hacha niende kupiga msuli maana nilikuwa nakaa karibu na chuo basi nikabeba Videsa vyangu huyo chuo nikaingia lecture room moja kulikuwa na watu kama 70-90 nikaa mbele kabisa nikaanza kupiga msuli.
Baada kama ya masaa mawili hivi nikahisi kichwa kimechoka nikasema hacha nitoa kama smartphone kangu walau niperuzi kama mapumziko nikaingia WhatsApp nakuta jamaa yangu kanitumia video ya Cristiano Ronaldo akiwa anahojiwa chini jamaa kaandika "MSIKILIZE CR7 ANAONGEA KISWAHILI KIDOGO"[emoji1787][emoji28] nilivyo mlevi wa soka si nika download halafu ni kaplay fasta bila kujua kuwa sauti ipo juu asee kumbe jamaa wame-edit sauti ya porno yani mdada analia wakati wakufanya mapenzi [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] chumba kizima wakawa wanani angalia mimi nikaona isiwe shidah nikababe vyangu nikasepa
 
Dah,acha tu sijui hyo aibu yake
 
Mamaeee ah ah ulipata tabu sana Mkuu nahisi ulitamani upotee kama mzuka vile
 
Mamaeee ah ah ulipata tabu sana Mkuu nahisi ulitamani upotee kama mzuka vile
Hii iliwahi kutokea wakati nasoma pale kwenye kile chuo chenye majengo meupe nyuma ya stendi ya Mawasiliano...

Tuko lecture room watu mob....anafundisha mkufunzi mmoja hivi....sasa kumbe kuna jamaa naye hasikilizi lecture kaingia WhatsApp anaperuzi peruzi...kakutana na video ya namna hiyo akaiplay.....

Ebwanaeeh....sauti kubwa mwanamke analia si mchezo...kila mtu alisikia mle ndani. Lecturer aliikaushia tu...ila aliripoti kwenye uongozi wa chuo.
Wakawa wakiingia wakufunzi wanatupiga mkwara kuwa nyie ndiyo lile darasa ambalo hamsomi mnaangalia porn darasani...!
 
Nikiwa chuo iringa nakaa mbali afu chuo kipo town
So lazma ntumie usafiri . Siku moja nikiwa nimevaa suluari modo Ime tight hatari,
Nikapanda zang bajaji , nmeshuka nikapiga hatua mbili hv nakuta Kila mtu Kama ananiangalia hiv , afu Kama upepo unaingia ndan HV ,
Kucheki suluari imetatuka kweny msamba ,

Asee ilibidi nipand bajaj nyingn fasta kurudi gheto,,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwongo uwongo mwingi sana mkuu na kujikweza kifala...mpangilio wa maneno yanasadifu huna maisha hayo ni wazi una njaa na uchovu wa maisha na hapa ulijua ni uzi wa kula tunda kimasihara....
 
Wamama wakipare ndo tabia zao
 
Hehehe..sasa wazee walikuuliza wewe walitaka ujibu nini?
 
ungemwambia tu simu umenunua kwa mtu mtaani na namba hukujua Kama ipo kwenye hiyo simu

Na wewe ungejifanya kumuuliza ni yako hiyo namba? Hapo angekuelewa
sikuwa nimejiandaa yaani nilikosa maneno sikuwa hata na uwezo wa kumtungia story yoyote coz hata sura ilijichora kwa aibu yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…