Rion Jr
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 623
- 691
Nakumbuka wakati niko advance muda wa chakula viongoz walikuwa wanasimamia mistari ya kuingia kwenye bwalo la chakula, sasa siku hiyo alikuwepo president wa shule ambaye tulikuwa tunashare baadhi ya masomo sasa katika kuruhusu mistari akataka stopishia mstari kwangu mm nikajichomeka nikaingia ndan jamaa akanifata ndan akawa akanikomalia nitoke nnje nika mplease sana lkn wapi nilihisi fedhea sana maana ukitoka nnje kundi lote watu waliopanga mstar kuanzia form 5 na 6 unakutana nalo linakukodolea macho hata chakula hakikupanda siku hiyo jamaa mpka kesho na mchukia, maana kuna watu wake alikuwa anawaachia wanapita tu