Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Nadhani ni choices tu mkuu sio hukumu.

High school niliyosoma ukichukua mtoto wa O' level unadharaulika. Kwa hiyo toka nitoke O' level sikuwahi hata kufikiria wala kutamani kwa sababu huwa nawaona ni watoto na hawajitambui.

Kwa upande mwingine mtu mwenye mtoto wa umri huo akisoma story kama hii lazma ajiskie hovyo na pengine utawaelewa muda ukifika mkuu 🙏🏽

Ila story ni kali
💯
 
Kadiri siku zinavyosogea na majukumu yanakuwa mengi. Ndio maana nikasema hii itakuwa ni simulizi yangu ya mwisho JF, sio kwamba zimeisha, bali najua sitoweza kuwa na muda mwingi wa kuweza kuandika kama ilivyokuwa hapo awali. So tuvumiliane kwenye ili.
Isiwe ya mwisho kama unavyodai APOSTO, sema kila utakapobarikiwa muda utakuwa unaleta story maana zina mafundisho na sanaa ya kuvunja mbavu. Marehemu @leadermore aliandika hadi siku anaenda hospital hivyo nawe fanya kwa ajili ya fans wako tafadhali.
Kwa niaba ya jf membaz wote.
 
Bora unatoa story nzur yenye mtiririko sawa unajua kusimulia sio hawa vigagula wanaleta story zenye msisimko alafu wanaishia njiani big upo bro
 
af roof zangu nimwachie nani blaza?
Ujua kuna raha ya kufika sebuleni na kuchukua remote bila kununiwa?
Haaaaahaaaa hongera kama upo kwenye hatua hiyo. Ndio hapooo kuitwa mshangazi usishangae😃😃😃
 
Kadiri siku zinavyosogea na majukumu yanakuwa mengi. Ndio maana nikasema hii itakuwa ni simulizi yangu ya mwisho JF,
Dah, hii taarifa mbaya kwa tunaokukubali Mr legend bwana aposto swahiba wa mzee dingi na mwanafunzi wa mzee keshoyetu(my) 😁😁
, sio kwamba zimeisha, bali najua sitoweza kuwa na muda mwingi wa kuweza kuandika kama ilivyokuwa hapo awali. So tuvumiliane kwenye ili.
Usiache kuandika, tutakuvumilia. Mi napenda story za mzee wako na mke wake, 😁😁😁 maana hatakagi mmletee shobo kwa mkewe eti kisa mamaenu.
 
Dah, hii taarifa mbaya kwa tunaokukubali Mr legend bwana aposto swahiba wa mzee dingi na mwanafunzi wa mzee keshoyetu(my) 😁😁

Usiache kuandika, tutakuvumilia. Mi napenda story za mzee wako na mke wake, 😁😁😁 maana hatakagi mmletee shobo kwa mkewe eti kisa mamaenu.
Mzee wake ni mtabe kweli.

Nadhani amekwisha sikia ombi letu. its not supposed to be an end.
 
Hahahaaaa yule mzee namkubali sana. Ile siku kamkuta kule kwenye tangawizi akampotezea kama hamjui nilicheka sana 😁😁
😬 Nd'o akamlipa ujira wake alafu akamwambia kama anataka waongee kama baba na mwana arudi nyumbani. Japo Jamaa alijitia kuonyesha uso wa huruma ila mshua alikuwa mkavu tu.

Mpaka mwamba akajiuliza, Mimi ni damu yake kweli?😅
 
Back
Top Bottom