Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

After portion 05. Nadhani utaanza na visa vya mashangazi. Ningependa kuuliza kuhusu Ester , where is her? Is she married or not?
Mkuu Analyse
Sijui anapoishi kwasasa. Ila kuna kipindi baada ya kuwa nimetoka kule aliniomba tuonane maana nilikuwa namsumbua sumbua. Dhumuni la yeye kutaka tuonane ilikuwa ni kuniambia kwamba yupo kwenye harakati za kuchumbiwa.

From there tulionana mara kadhaa, na baada ya hapo sijawahi kujua alipo. Ile namba yake inapatikana endapo akitaka kunijulia hali tu, kinyume na hapo haipatikani.
 
Aiseee naanza kuamini ule msemo kwamba mwanamke atakuvumilia ila siku akiamua kwamba imetosha ndio basi tena harudi nyuma, wanaume wengi sijui kwanini wanashindwa kuliona hili halafu mwisho wa siku wakija kuangukia kwa magumegume wanaanza kutukana wanawake wote, kumbe wanasahau kuwa walishapata wanawake wazuri ili wakachezea nafasi kwa kudhani wanapendwa hivyo watavumiliwa milele
Tunakosaga watu sahihi wa kutuongoza kwenye mambo kama haya. Ukweli ni kwamba, ukiwa kijana makosa yanakuwa mengi sana katika kila angle
 
Alitumia mbinu ambayo sikuitarajia na ndio maana nikashindwa kujitetea. Nilishukuru alivyomwambia mama yake atupishe, maana aibu ingekuwa kubwa zaidi
Sasa na wewe unajua kabisa simu haijaisha chaji, na akiiweka chaji itasoma chaji iliopo, ulikua unatumia akil gani wewe?? Kwel kabisa unakwenda kutafuta suluhu kwa akil ya kizembe namna hii mkuu? Ya kwel haya au??
 
Sasa na wewe unajua kabisa simu haijaisha chaji, na akiiweka chaji itasoma chaji iliopo, ulikua unatumia akil gani wewe?? Kwel kabisa unakwenda kutafuta suluhu kwa akil ya kizembe namna hii mkuu? Ya kwel haya au??
Yeye ndio aliomba simu aniwekee chaji, na Mimi sikutaka kuresist ili asije hisi chochote. Ila mambo ndio yakaenda kunigeuka
 
Ahahahah..dah sio kwangu aisee. Mimi nikishalitaka langu hua nahakikisha operation execution inakua error free. Yan siruhusu makosa hata kwa 0.5%
Bado hujachanganywa vizuri, kwa mazingira ya huyu bwana ilikuwa lazima akosee tu kumbuka alikuwa na hofu ya kukataliwa wakati huo furaha ya kwenda kule, akili lazima ivurugike
 
Back
Top Bottom