Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

😋😋
 
Analyse

Dah IFWAGI umenikumbusha mbali ngoja nimwage kisa changu kifupi kuhusu ifwagi.

Mwaka 2018 December wakayi naishi Mafinga niliwahi kuopoa demu Kinyanambo B ndo nilikutana nae, yule manzi baada ya mahusiano kama wiki kabla hata sijala tunda akaniambia anaenda kwa dada yake huko ifwagi na atakaa miezi 3.

Basi nilihuzunika ila nikaona fresh ,mawasiliano yaliendelea mpaka kuna siku aliniambia ana hamu ya kuniona nifanye namna niende nikamuone. Basi nikampanga nitaenda ila lazima anipe tunda akasema fresh,siku hiyo chap nikaoga nikaanda Ndom weka kwa begi kisha nikashuka pale CRDB njia ya kwena Ifwagi. Aisew usafiri wa kule jau kinoma kuna vile vitaksi ***** mbele mnakaa hadi watu wa 4 na nauli elfu 2 kwa kipindi hiko nikaona sio kesi.

Barabara vumbi tupu ukishavuka lile kanisa katoliki basi piga vumbi nikafika Ifwagi,nikakuta mtoto ananisubiri, sasa ilibidi nikalombe kwao ila alikuja mgeni wa ghafla hivyo ikabidi tutafute gesti ebwana enhee tulitafuta gesti na tulitembea kinoma hakuna gesti hata wenyeji walikua hawajui. Nilimaindi kinoma nikataka kumpeleka vichakani ila ikawa ngumu alikaza basi nikaondoka kwa hasira kurudi town hata kitumbua sikugusa.

Mapenzi yaliendelea ila yalikua afifu kwasababu yeye alibanwa sana.

Nimekumbuka mbali sana IFWAGI.
 
Hapo igohole kuna hiyo shule ya wasichana tulialikwaga kutoa elimu dah mabint wanapata sana mimba na ngoma nje nje hiko kijiji.
 
Kwani mashangazi walikuwekea nini mbona ukiwaona unawehuka hivi 😂😂😂😂😂
 
Wewe acha kujishaua.
 
Mshua wangu ndio angekuwa Mshua wako, siku ya kikao lazima angekuchapa na viboko 😅😅
 
Jamaa anataka akusanye details 😅😅
 
Sijui kwa sasa ila wakati huo wa uchakaramu inaonekana Esther alikuwa anakuzidi akili na maarifa mbali sana.
Nimecheka sana hapo ulipojipiga risasi ya mguu kwenye suala la simu na chaji mkuu.
Wala sio kwamba alinizidi maarifa, ni kwamba yeye alikuwa anajua nini anataka hivyo ilikuwa rahisi kwake kujua afanye nini
 
Hadi umefikia kuandika story ya Esther kwa heading hiyo, inaonekana kwa sasa nyumbani moto unakuwakia mkuu.
Ila usiwaze sana, wengi wameoa au kuolewa na watu ambao baadae sana ndio wamegundua sio sahihi kwao kulinganisha na walipopita zamani.
Sio kweli mkuu, nimeamua kushare kama ambavyo nimekuwa nikishare story zingine
 
Ni kweli usemacho mkuu
 
Mkuu hii sentensi haujaitolea maelezo kabisa hadi portion iliyoisha. Ni kitu gani alikiona kwako Esther halafu mwishowe akakubali kukipoteza tu.
Please, kabla haujaenda kwa story za mashangazi.
Picha ambayo Ester alikuwa nayo kuhusu Mimi ni hii ambayo niko nayo sasa. Yeye aliona vitu vingi kwa wakati ule ambavyo Mimi ndio naviona sasa..

Kiufupi nilipo sasa, nilitakiwa kuwa nimepafikia au kupavuka muda mrefu sana uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…