Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Pole sana mkuu, usafiri ulivyo mgumu kipindi kile alafu unaenda na kurudi dry?
 
Mashangaz nawatakaga sana ila huwa nakuwa mwoga,huwa napata ujasir wa kumtokea mshangaz mpaka pale nikisikia
taarifa zake za kupenda vijana wadogo

Nimeshawah kuwa nao wawili kwa nyakati tofauti
 
Ofcourse ilikuwa ni mwendo wa raha tu πŸ˜…πŸ˜…
Ila wamenichelewesha kuanzisha familia, wanasahaulisha sana
Nachodhani ulipata experience nzuri ya kuishi na mwanamke naamini kabisa utakuwa ni mume mwema, halafu sie wanawake tunapenda watu wenye uzoefu inaaminika kuwa mkiamua kutulia mnatulia vizuri sana na mnajua nini tunataka, sio unakutana na bikira wa kiume ukitombile anauanzia ndani km sio kutafutiana ushetani ni nini?
 
Yeah ni muda wa kutulia sasa, kama fujo nimeshazifanya sana

Ila hapo mwishoni jinsi ulivyomalizia, nimejikuta nacheka peke yangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…