Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Analyse wewe ni king katika kusimulia. Story zako hazichoshi kusoma na zinaburudisha, kuhamasisha na mafunzo lukuki

Wanawake kama Ester wapo ila ni wa kumulika kwa tochi kwa kizazi tulichonacho saizi

By the way hongera sana kwa utunzi mzuri
 
wangu alinitimua mbona.
Asingeshikwa angenitandika kweli, akaishia kunitimua , sa nilibisha basi nikaondoka fresh tu.

Sikumuona ka miezi sita hivi, akaniita sikwenda
siku naenda nimeanza kujenga kwangu.
Alilalamika yeye, mkewe ,dada zake.
Hata sasa hatuna uhusiano mzuri viiiiile, nimeaibisha familia kwa kuacha ndoa.
Mi hata sijali, hamna mtu anajua nilikuwa napitia nn bana!
Watajiadjust tu with time.
Samehe 70x7. Rudisha moyo nyuma uokoe ndoa yako 😎
 
Atwambie siri iliyopo.
Kakangu wa kufikia Analyse uje utupe na faida za mishangazi, nataka kuchukua notes.
Nna kazi nazo
Huwezi amini kuna mtu mwingine hapa nae katulia tuli anasubiria nondo za mashangazi. Nikizisema sababu zote, nitazidi kuwapoteza vijana 😅
 
Ila nahisi saa hizi umeshakula MTU mwema Sana.
Je una familiya kwa Sasa au bado mashangazi wanapata lift kwako?
Mashangazi nimeamua kujipumzisha nao, pengine nitanenepa sasa 😅
 
Analyse wewe ni king katika kusimulia. Story zako hazichoshi kusoma na zinaburudisha, kuhamasisha na mafunzo lukuki

Wanawake kama Ester wapo ila ni wa kumulika kwa tochi kwa kizazi tulichonacho saizi
Pamoja broh 👊
 
Back
Top Bottom