Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Kobilo ilikua fupi zaidi ya mbupu....sheitwainiiii🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Unaweza hisi natania, ila muulize mwanaume yeyote akwambie. Kuna time inanywea hadi unahisi imepotea πŸ˜…
 
kila siku saa 2-3 usiku hakikisha unakuwepo hapa.
Yani kama tunacheki tambala hili dude.

Analyse shikamoo zako aiseeh.
Huku nakuonea huruma huku nacheka huku nasema shwaaaani yako lolote likupate, basi ilimradi tu raha!
Wewe daily ni kunicheka tu πŸ˜… πŸ˜…. Pole yako haina mashiko
 
Sipati picha kama angejua una ugomvi na mtani hyo collabo yake ingekuwa ni hatari.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
"Na pindi nilipopendekeza Milioni 5, kumbe nilikuwa nimejichagulia mnyoosho wa Milioni 5"...

Nausubiri mnyoosho wa milioni 5 za Kitazania ndugu Apostle..!!πŸ™Œ
Sawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hekaheka zote hizo ni k tu ilikuwa chanzo!! Kumbe mpaka mkiamua kuzeeka mnaona mengi, itabidi tujitahidi kuwaombea arooo
Tena maombi mazito sana, maana battles ni nyingi sana
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…