Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

umeandaliwa mnyoosho wa Milioni tano!
 
Yaani Apostle umenifanya nicheke sana though niko kwenye situation ambayo kicheko kwangu ni adimu ili hii simulizi yako imekuwa sababu ya mimi kucheka, asante sana Apostle
Pamoja sana broh πŸ‘Š
 
Akili ikaniambia huyo Mogadishu ambaye anasisitiziwa kuja, kama akifika basi shughuli imeisha, maana ilo jina haliwezi kuwa la balozi au mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
Dah!...noma sana..... kweli majuto ni mjukuu...
 
Samahani mkuu(baba Mwahija), ni kweli 2022 ulileta kisa cha kufumaniwa na mama mwenye nyumba ila huku imaliza ile stori mkuu.
 
Samahani mkuu(baba Mwahija), ni kweli 2022 ulileta kisa cha kufumaniwa na mama mwenye nyumba ila huku imaliza ile stori mkuu.
Sio kweli mkuu, hakuna story ambayo ipo jukwaani na sikuimaliza. Nahisi itakuwa uliishia njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…