Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Karibu 😍
 
Hongera mkuu umepitia mengi acha niendelee kujifunza
 


"Wakati nimeshashuka, nikamuona Mtani wangu alikuwa anatokea upande kilipo kituo cha polisi anakuja kwangu. Tukakutanisha macho, akili ikaniambia nikimbie ila nikaipinga, maana yule jamaa kwa akili zake anaweza akaniitia mwizi. Bila kupenda ikabidi nirudi ndani ya lile gari la polisi. Wale askari wakaanza kucheka. Mtani baada ya kuona nimeingia ndani ya gari, akaamua kuondoka maana askari walikuwa wanamtolea macho waone atafanya nini."
 
Sema huyo Mzee alishaonesha kukuzidi akili kitambo sana; sijui kwa nini ulihisi utamuweza.
Ila Mzee mhuni sana eti "chagua package, ufanyiwe massage. Punguza nyege Aposto"
Na angejitia kukubali offer ya mzee angewekewa pilipili kwenye mafuta ya masage au upupu 🀣🀣aloooh
 
mzee ulivokuwa unakamatwa kamatwa hukupata wazo la kuhama huo mtaa??
Katika mara zote nilizokamatwa, ni mara mbili tu nadhani ndio nilikamatiwa karibu na mtaa niliokuwa naishi. Ila zingine zote walikuwa wananikamatia mazingira tofauti, mpaka nilipopata akili ya kubadilisha simu na line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…