Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Shukrani sana mkuu. Sema bahati mbaya umekuja kunipa moyo kipindi ambacho nimeamua kuacha kuandika 🀦
 
Yaani Analyse Analyse Analyse nimekuita mara 3.

We jamaa mbona unarudia makosa kila siku?
Kwanini hujifunzi?
Why?

Yaani ulivyoandika hivi najua story yako itaisha kwa wewe kumla huyo binti mzee B kujua na kukufutilia mbali na visasi juu.

Mkuu najua episode zitakazofuata utapuyanga tu lakini mbona ni kama deal nzuri zinakujia alafu wewe ndo unaenda kuharishia hapo

Unanikera mkuu japo sijui ilikuwaje na huyo binti lakini.....

😏😏😏
 
Japo nilizingua, ila sio kama mnavyofikiria. Alafu kingine, hapa nyie mnasoma, ila kwangu ilikuwa ni reality. Hivyo kuna tofauti kubwa.

Nakubali kwamba nilikuwa na mistakes nyingi sana, tena za kujirudia rudia. Na hii ndio maana nimeamua kuandika humu JF kwa sababu naamini kuna mtu yupo sehemu anafanya makosa kama ambayo nilikuwa nikiyafanya Mimi. Nisingependa kuona mtu anasota kama ilivyokuwa kwangu.
 
Mkuu wewe kila siku unateleza padogo sana sioπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…