Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Mkuu Analyse kwa simulizi zako kuna kitu in general nimekiona kwamba ni hivi mpaka uliopo kati ya utamu na uchungu ni mdogo sana.

Hivi vitu viwili uwenda kimoja kilizaa kingine ila hatujui ni kipi, raha ikikolea sana akili inafreeze kabisa na shida zinatufanya akili inakuwa active sana.
 
Kutusua au kuharibu, vinatenganishwa na mstari mwembamba sana
 
Nikataka nimwambie namiliki bodaboda kuna mtu nimempa mkataba, ila nikasita. Maana Mshua wangu mwenyewe nilivyomwambiaga nimenunua bodaboda, aliniambia nitafute kitu kingine maana hiyo sio biashara, muda wowote naweza kupigiwa simu niambiwe chombo kipo chini ya fuso, mtaji na faida vinapotea
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom