snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Uzuri unapataga madhara ukiwa umeshafaidi.Ni binti wa mwisho, ila hakuwa katoto mkuu ๐ ๐
Hapo mi ndo napokutoa tu kafara wakuue !
Sijaaaaligi wala nn!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri unapataga madhara ukiwa umeshafaidi.Ni binti wa mwisho, ila hakuwa katoto mkuu ๐ ๐
shukran mkuu
Best friend wa Mzee KYAnalyse, legend, apostle, baba husna, mkwe, mutani, amphibian๐๐ una majina mengi
Stress mbaya sana....Sasa sijui anapata faida gani ku dislikeHuu uzi kuna mtu ana dislike mwanzo mwenga....๐๐๐๐๐๐
Kuna comments zinamboa lazima ๐๐๐๐Stress mbaya sana....Sasa sijui anapata faida gani ku dislike
Kutusua au kuharibu, vinatenganishwa na mstari mwembamba sanaMkuu Analyse kwa simulizi zako kuna kitu in general nimekiona kwamba ni hivi mpaka uliopo kati ya utamu na uchungu ni mdogo sana.
Hivi vitu viwili uwenda kimoja kilizaa kingine ila hatujui ni kipi, raha ikikolea sana akili inafreeze kabisa na shida zinatufanya akili inakuwa active sana.
Kijana wa mzee wa kongowe, jirani wa mzee dingi, ana marafiki hadi songea ๐๐๐ mtoto feki wa mangi.Best friend wa Mzee KY
๐คฃ๐คฃNikataka nimwambie namiliki bodaboda kuna mtu nimempa mkataba, ila nikasita. Maana Mshua wangu mwenyewe nilivyomwambiaga nimenunua bodaboda, aliniambia nitafute kitu kingine maana hiyo sio biashara, muda wowote naweza kupigiwa simu niambiwe chombo kipo chini ya fuso, mtaji na faida vinapotea