Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Ahsantee

Sent from JamiiForums mobile app
 
Apostle! Much respect to you brother, mbali na burudani ila simulizi zako sisi wengine kwetu ni somo na at some point tumevuka baadhi ya mambo kupitia simulizi hizi. Ubarikiwe sana ila chondechonde usije ukaloweka kobilo lako kwa katrina maana mzee atakunyoosha zaidi ya ule mnyoosho wa millioni 5
 
Yani sijui nifanyeje tu,yaani nikipata mahusiano na mtu aliyenizidi umri ndio naona kama ninafaidi sana Ila nikipata totoz wa rika langu wala ata hisia kwake sina sana Kama zile ninazopata kwa wamama
Mkuu siku zote mimi huamini ukiwa na DHAMIRA YA KWELI unalolitaka litakuwa unless liwe nje kabisa ya uwezo wako. ifundishe akili yako kuzitawala hisia zako kwasababu hisia siku zote hutoa maamuzi mkurupuko ila ukihusisha akili kwenye hisia zako unatoa kitu smart.
Kila la heri
 
moneytalk ndugu yangu
 
Tofauti na alichosema uyo mzee ila ukweli mwingine kuwa kuna bond ipo kati ya mtoto wa kike na baba yake pia mtoto wa kiume na mama yake hili nalishuhudia kwnz kwangu mim na mama yangu.

Tuna ukaribu kiasi kwamba mpaka mzee anaumia sana pia hata kwa mabint zangu inagwa ni wadogo mmoja miaka nane mwingne miaka mitano ila uyu wa miaka mitano aisee kadri anavyokuwa anakuwa na mapenzi namm mpaka basi kias pia mama yake nae anaumia mana uwa mpaka mtoto anasema yeye ni mtoto baba tu.

Ukija uyo mkubwa nae hivyo hivyo anamapenzi namimi kuliko mama yake ingawa hajamzidi mdogo wake, bado nayaona hata kwa baadhi ya rfk zangu kwa mama zao wapo krb sana kuliko baba zao pia hata kwa watoto wao naona hilo pia.
 
Naomba nikurekebishe sio mshaleta hio midume ni mpango wa Mungu iwe hivyo ...Shukuru kwa Kila jambo


Utafiti wa mzee umejikita katika familia yake,hilo haliondoa mawazo chanya ya wengine juu ya watoto wa kiume
 
Naomba nikurekebishe sio mshaleta hio midume ni mpango wa Mungu iwe hivyo ...Shukuru kwa Kila jambo


Utafiti wa mzee umejikita katika familia yake,hilo haliondoa mawazo chanya ya wengine juu ya watoto wa kiume
Unajuaje familia ya mzee huenda inaakisi familia yangu? Au ya jirani yangu ama ya mtu wangu wa karibu?

Hamna faida nyingine zaidi ya kuendeleza jina la koo zenu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…