Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Pamoja sana mkuu πŸ‘Š
 
Yawezekana ukawa sahihi mkuu. Maana haya mambo kila mmoja ana experience yake ya tofauti
 
Unajuaje familia ya mzee huenda inaakisi familia yangu? Au ya jirani yangu ama ya mtu wangu wa karibu?

Hamna faida nyingine zaidi ya kuendeleza jina la koo zenu tu
Sawa twende taratibu kulingana na sensa ya watu na makazi ya 2022 jinsia gani ina watu wengi Tanzania(Wakiume au wakike)

Kingine jamii ipo katika hali sana ya kumtetea kila kitu mtoto wa kike,mawazo yako unataka utuaminishe wote hapa.Unapofanya tathmini ya jambo fulani usiangalie faida moja TU (Kuendeleza ukoo) angalia ni nyingine nyiingi ndipo uje na hitimisho
 
Tena walio mbele katika huo utetezi ni nyie wanaume
 
Naona tumeanza kuelewana vizuri tu .Sio kwamba wanaume hawateseki ila jamii imeshajengewa dhana mtoto wa kike yeye tu anapitia tabu kwahio zikisikika shida zao hawazingatiwi saana
Mnatupenda sana si kimwili tu bali kihisia na kisaikolojia, hata hivyo nilikuwa nakazia alichosema mzee(baba Katrina)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…