Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Ok, ntaandika nikipata muda humu humu,,, ntaandika jinsi nilivyokutana na mjeshi mmoja jambazi aliyewahi kusumbua sana miaka ya nyuma anaitwa kamanda dogo na story yake humo ndani..... Ntaelezea upande ambao haujawahi kuelezwa na hisia zake juu ya mauaji aliyowahi kufanya na mahusiano yake ya mapenzi.
Sawa mkuu, tunasubiria
 
nilisoma story yake nadhani alifanya matukio yake Mbeya au kigoma,nadhani Mbeya na alikuwa na back up ya mamaake kama sikosei,lete story zake na naomba unitag kama hautajali
 
Leo nimekuwa mchelewaji mambo mengi, kwahiyo Trina siku ile anakudolishia tam yake alikuwa kwenye siku za moto!!🤣🤣 Mahondaw ulipatia niliona umeandika kuhusu hot days,

Sasa Aposto kobilo inajua kukusaliti kwenye aibu haiko na wewe🤣🤣nashindwa nikuonee huruma au nikucheke japo ilikuwa halali yako kuikula hiyo mali ya katrina
 
Apostle mzee anajua kabisa ulipita na mwanae na huenda alifurahi kusikia habar za mimba sasa kuambiwa imetolewa tena anaona ndege anapeperuka
 
Mimi ndio nilikua bf wa katarina kumbe ulikua unanimegea sio.
20240822_191740.jpg

KIMEUMANAAAAAA !!!! KUMBE WENYE PISI YAKE YUPO HUMU HUMU JF
 
Ok, ntaandika nikipata muda humu humu,,, ntaandika jinsi nilivyokutana na mjeshi mmoja jambazi aliyewahi kusumbua sana miaka ya nyuma anaitwa kamanda dogo na story yake humo ndani..... Ntaelezea upande ambao haujawahi kuelezwa na hisia zake juu ya mauaji aliyowahi kufanya na mahusiano yake ya mapenzi.
Mkuu shusha vitu hapa hapa, naona Baba Husna kashasema inayofuata anamaliza. Ombi langu kwako, akimaliza tu we unganisha muendelezo [Cha pili]
 
Back
Top Bottom