Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Portion 07.

....Kutokana na ugeni wa mazingira ya kwake, sikutaka kwenda mida ya usiku. Nilifanya hivi ili hata kama ni mtego, basi usininase.

Nilichofanya, baada ya kurudi ghetto nilioga na kubadili nguo then nikachukua uelekeo wa kwa yule bi mkubwa. Sikutaka kumpigia simu kwanza, nilijaribu kutumia maelekezo yake ya kipindi kile nione kama yatanifikisha. Niliweza kusogea kabisa mpaka maeneo yale, japo kumbukumbu hazikuweza kunisaidia kujua nyumba anayokaa.

Niliulizia ulizia majirani, ila ikaniwia ugumu maana sikuwa nafahamu jina lake. Ila baada ya kuuliza watu kadhaa huku nikielezea muonekano wake, ndio mzee mmoja akahisi namuulizia Husna, akajaribu kunielekeza nyumba anayoishi, ambayo haikuwa mbali na pale tulipokuwa. Nilivyofika karibu na ile nyumba, nikapiga simu. Nikamuelekeza maeneo niliyopo, wakati tunaendelea kuongea nikamuona anatoka kwenye ile nyumba niliyoelekezwa, aliponiona akanipa ishara nimfate. Akanikaribisha ndani. Alikuwa amepanga vyumba viwili vya kulala, pamoja na sebule. Kupikia alikuwa anapikia nje. Niliingia nikawa nimekaa sebuleni pale

Bi mkubwa: "Inaonekana una kumbukumbu nzuri, umeweza kufika mpaka hapa?"

Analyse: "Ah wapi, nimepotea sana. Mpaka nimefanya kuuliza sana watu"

Bi mkubwa: "Basi hapo utakuwa umeulizia kwa Mama mnene mnene, kama vile hapa mtaani mnene ni Mimi tu "

Analyse: "Na kweli nimesota sana, mpaka nilivyokutana na mtu ambae akahisi namuulizia Husna"

Bi mkubwa: "Nani huyo alinitaja jina la Husna? Maana wengi mtaani wananiita Mama Husna"

Analyse: "Mzee mmoja hivi, tena naye ni kama bahati kukutana nae. Vipi kwani jina lako ni Husna au Mama Husna?"

Bi mkubwa: "Yote ni majina yangu, Mimi ni Husna, na Binti yangu nae ni Husna. Kwahiyo hata ukiniita Husna au Mama Husna, yote unakuwa sahihi. Ila sababu ya heshima, wengi wananiita Mama Husna "

Analyse: "Naona uliamua kumuita mwanao jina lako"

Mama Husna: "Ni jina la Mama yangu pia"

Analyse: "Kwahiyo Bibi, Mama na Mjukuu wote mnatumia jina moja?. Kwanini?

Mama Husna: "Imetokea tu"

Analyse: "Itakuwa unampenda sana huyo Husna. Yuko wapi?"

Mama Husna: "Anaishi Mwanza kwasasa, anasoma chuo kule"

Analyse: "Unawatoto wa ngapi kwani?"

Mama Husna: "Mmoja tu, Sina watoto wengi Mimi"

Analyse: "Mtoto mmoja?"

Mama Husna: "Ndio mmoja, sasa wengi wa nini. Huyu mwenyewe nimemlea kiubishi ubishi tu, sasa ningekuwa na wengi ingekuwaje?"

Analyse: "Kwanini kiubishi ubishi, kwani baba yake hakuwepo?"

Mama Husna: "Huyo alipotea baada ya kuweka mimba. Na hata baadae alipoamua kurudi, hatukuwa na ule ukaribu kama tuliokuwaga nao kipindi cha nyuma, kila mmoja akachukua hamsini zake, tumebaki tunalea mtoto tu"

Analyse: "Ila sijaona sababu ya wewe kutokuwa na mtoto mwingine"

Mama Husna: "Kijana wangu tokea umefika maswali yamekuwa ni mengi, imetosha sasa. Haya niambie, utokako kwema?"

Analyse: "Kwema sana, sijui hapa"

Mama Husna: "Hapa ni kama unavyoona tu, umekuja muda wa kupika ndio maana hizi pilika pilika haziishi"

(Muda wote tuliokuwa tunaongea, alikuwa anaenda nje mara kwa mara maana alikuwa anapikia nje, upande wa uwani)

Story za hapa na pale ziliendelea, mpaka msosi ukawa tayari tukala.

Analyse: "Asante sana kwa chakula Mama"

Mama Husna: "Usijali kijana wangu"

Analyse: "Muda umeshaenda Mama, acha niende sasa" (Baada ya kusema hivi, nikasimama)

Mama Husna: "Mbona bado mapema, unaenda kulala sasa hivi?"

Analyse: "Kwa jinsi nilivyoshiba, siwezi kwenda kulala, inabidi nitembee tembee kidogo"

Mama Husna: "Ungeoa tabu zote zisingekuwepo hizo. Haya matembezi mema uendako"

Analyse: "Muda wa kuoa bado, leo acha nikatembee tembee"

Mama Husna: "Angalia wasikukabe humo njiani"

Analyse: "Na nilivyo mgeni hapa mtaani..Itabidi nibadilishe mtindo wa mazoezi. Nitaanza kufanyia ndani sasa. Siku moja moja nitakuwa nakuja kukusaidia kumtafutia Husna mdogo wake"

Mama Husna(akacheka): "Kumbe hadi wali unalewesha siku hizi? Naona shibe imekulevya kijana wangu"

Analyse(nikatabasamu tu): "Akili zangu zipo timamu kabisa, wala sihita...... "

Mama Husna: "Hebu kuwa na adabu sasa, yani umekula chakula changu, sasa shibe inakutuma untongozee hapa mlangoni kwangu?"

Analyse: "Sio sababu ya ..... "

Mama Husna: "Nenda nyumbani, kapumzishe kichwa kijana wangu"

Sikuwa na namna, ikabidi niage nikaondoka.

Nilienda moja kwa moja mpaka ghetto kwangu, huku najiuliza nimcheki au nimpotezee? Maana Kwa hali aliyokuwa nayo muda ule tumesimama pale nje kwake, ilinionesha sura yake nyingine, ilinipa tahadhari kwamba niwe makini na maneno yangu.

Nikiwa pale kitandani kwangu, nikaona heri nimpigie simu nimwambie kuwa nimefika, walau hivyo tu;

Mama Husna: "Eeh alooh!"

Analyse: "Nimefika salama home kwangu, nimeona nikujulishe"

Mama Husna: "Haya sawa"

Analyse: "Ndio unalala muda huu?"

Mama Husna: "Sasa nifanye nini tena, ndio najiandaa kulala hivyo"

Analyse: "Ni kwavile uko peke yako, ila muda wa kulala bado"

Mama Husna: "Bwana eeh, umri wa kubanwa banwa umeshapita, nishazoea kujinafasi"

Analyse: "Sasa ikitokea upo na mtu hapo, yeye ndio atakuwa anakubana au wewe ndio unambana?"

Mama Husna (Akacheka): "Vyovyote vile, na ntambana kweli hadi akome maana nnavyojiachiaga"

Analyse: "Kuna mateso mengine yanastahili kuvumiliwa, mfano ukinibana Mimi wala sitokuwa na muda wa kulalamika"

Mama Husna: "Hivi wewe mtoto, mbona kama unataka kunitafutia kesi Mimi?. Hivi unaniangalia kwa uoga eeh?"

Analyse: "Kwanini unasema hivyo?"

Mama Husna: "Yani nikikuangalia hako kamwili kako na jinsi nilivyo, nikama vile unatafuta kunifia, hivi una bima ya afya kweli?"

Analyse: "Mimi ni kama mzani tu, siogopi kilo za mpimwaji. Kama kweli unataka kujua uzito wako, niruhusu nikupime"

Mama Husna (Akacheka): "Unanifurahisha sana. Hata mizani ina mipaka yake, sio kila uzito itaweza kupima, vinginevyo unaweza kuuvunja"

Analyse: "Huu ni mzani wa kalakana Mama, ushazoea kupima vyuma, sembuse gunia la pamba? Mzigo wowote wewe leta tu"

Mama Husna: "Maneno mengi hivyo, utaweza?"

Analyse: "Nipe nishindwe, kisha ndio unihukumu Mama"

Mama Husna: "Hebu ngoja nilale mimi, kesho nina siku ndefu"

Analyse: "Mimi pia nalala muda sio mrefu, lini naweza kukuona tena?"

Mama Husna: "Unione ili iweje sasa?"

Analyse: "Nikupime uzito"

Mama Husna: "Sihitaji kupima uzito, maana kilo zangu nazijua"

Analyse: "Ila Mimi sizijui"

Mama Husna: "Unataka nikutajie?"

Analyse: "Kwanini unitajie wakati naweza kupima mwenyewe"

Mama Husna: "Tutaongea kesho, acha nilale".

Maongezi yakaishia hapo, tukaagana na kukata simu.

Nikaanza kufikiria, huyu naenda nae vipi. Maana ni kama ameshaanza kueleweka. Nikaamua kusubiria kesho ifike, maana nikianza kuweka plans muda huu naweza nikachemka.

Nikalala.....

***** ******* ******** *****

Kesho yake asubuhi nilimpigia hakupokea, nikatuma text haikujibiwa. Nikaamua kuendelea na mishe zangu.

Mida ya jioni kabisa ndio akanicheki. Tukapiga story mbili tatu, Kisha akaniambia amesharudi home, kwa upande wangu nilimwabia bado sijarudi, japo nilikuwa home tayari. Sikutaka kumwambia ukweli, maana nilihisi mazungumzo yetu yangeweza kufanya niende kwake, na sikutaka kwenda muda ule.

Niliamua kufanya vile kutokana na kujua nature ya first shoo au mahusiano yanavyoanza, jinsi yanavyokuwaga. Mwanzoni kunakuwaga na aibu aibu nyingi, bila kujalisha umri, wanawake wote huwa wana kaaibu fulani hivi. Unaweza ukakutana na mwanamke tangia asubuhi, ila shoo ukaja kupewa jioni au hata usipewe kabisa japokuwa wakati anakuja alikuwa anajua kabisa kuwa anakuja kuliwa. Ukiwa na hasira ndio unakuta akiondoka unamwambia asije tena au unaishia kubaki na hasira.

Sasa kuavoid yote hayo, huwa napenda meeting ziwe baada ya jua kuzama, giza lina boost confidence.

Mida ya saa kumi na mbili, nikamwambia ndio nimetoka job, hivyo muda sio mrefu nitakuwa kwake pale.

Nilivyofika na kugonga mlango, akaitikia tu "Pita mlango uko wazi huo"

Japo nilimsikia, ila sikutaka kuingia, lengo ni kumfanya aje mpaka mlangoni ili tukiwa tunaelekea sebuleni, tuwe karibu. Na kweli ikawa hivyo. Wakati tunaelekea viti vilipo, nikawa nimemshika mkono, hakuresist, nikajisemea kimoyo moyo "Yes"

Mama Husna: "Karibu ukae"

Analyse: "Leo sikai sana, maana ndio kwanza nimetoka job, hata home sijafika"

Mama Husna: "Sasa si ndio ukae mwili upoe, kisha uende huko kwako?"

Analyse: "Mwili hauwezi poa kwa kukaa, hapa inabidi nikalale kabisa"

Mama Husna: "Unavyopenda kulala sasa, utadhani huko unapoenda kuna mtu"

Analyse: "Pangekuwa na mtu si ningefurahi, ndio maana nimepitia hapa ili walau nikuone wewe, kisha nikaweze kulala vizuri"

Mama Husna: "Haya Mimi nimejaa tele hapa"

Analyse: "Kukuona nimeshakuona, ila huwezi amini kilichonifanya nipitie hapa kabla ya kwenda home ni kukuhug wewe tu ili walau nijisikie vizuri"

Mama Husna: "Heeh makubwa leo, kwahiyo ndio hata kukaa hutaki?"

Analyse: "Sasa nikikaa ntawezaje kukuhug?"

(Muda wote tunaongea haya, Mimi nimesimama karibia na sofa la mtu mmoja, yeye kasimama katikati ya sebule yake)

Mama Husna: "Kumbe ndio unavituko hivi?"

Analyse: "Niruhusu niende basi"

Mama Husna: "Wewe nenda tu, maana umegoma kuja kukaa"

Analyse: "Ntaendaje na sijatimiza dhumuni langu?"

Mama Husna: "Kama ni hivyo basi ushafeli"

Analyse: "Kama umenigomea, acha Mimi niende, ila siku nyingine nitakuja mapema ili niweze kukaa"

Baada ya kusema hivi, nikaanza kuelekea mlango ulipo. Na yeye akaenda ili anifungulie. Nikajaribu kumshika kiuno, akawa kama ananizuia ila hakutumia nguvu sana. Nikamvuta, alivyogeuka nikamkumbatia. Akataka kujiweka vizuri, nikamkiss mdomoni.

Akanikumbatia vizuri...
Ila wanawake bwana kujifanya na misimamo kumbe hakuna kitu.
 
Fisi kama fisi katika harakati za uwindaji
 
Nakala aione Lamomy mezani..!!

snowhite hii story nitakuja chemba uniambie vyema, kuna kitu natamani kujifunza kiukweli..!!
😂😂😂 Kataa ndoa PRO MAX
Bana kuishi Life lako kwa uhuru lina raha sana, mambo ya kufua boksa na kuwaza mtoto wa mtu nayo kipaji ujue..!!
Mara kajinunisha, kutoka mpk uage ukabaliwe Mxieeeeww Nani anataka hizo hekaheka??!! 😹

Kuolewa ni kuuza uhuru wako.. KATAA NDOA, NDOA INAFUBAZA 🤣🤣🤣
 
Qiiiiiiiiiiiiituuuuuuhhh!
 
Back
Top Bottom