Portion 12.
.... Nikiwa kwenye hii nyumba nilijitahidi sana kutulia. Sikutaka kuingia kwenye issue za mahusiano kwa wakati ule. Hivyo niliamua kuwa busy na mambo yangu tu.
Nilikuwa nawaona tu wapangaji wenzangu wanavyobadili mizigo hasa yule dereva malori. Mimi nilikuwa napenda wanawake wenye miili mikubwa, ila yule jamaa alinizidi. Tandam alizokuwa anapush zilikuwa ni heavy sana. Ila walau yeye mwili wake wa ulikuwa unaruhusu.
Pamoja na tabia yake ya kubadili wanawake, ila alikuwa na mwanamke mmoja ambaye inaonekana wamekuwa wakiishi pamoja kwa muda mrefu ila alikuwa safarini kipindi Mimi nahamia. Nikiwa na kama mwezi na nusu tokea nimehamia pale, huyo mwanamke wake akawa amerudi. Alikuwa ni mwanamke wa haja, nyama nyama za kutosha, kiasi kwamba nikajikuta natoa macho.
Kwavile sikuwa mtu wa kupenda kutoka toka, mara nyingi nikitoka mishe zangu huwa natulia tu pale ghetto. Katika siku ambazo huwa nakuwa home mapema au hata kama nimewahi kurudi, yule mwanamke wa mtani wangu akaanza kama kujaribu kunizoea. Na hiyo ilitokana na kwamba muda mwingi anashinda mwenyewe mazingira ya pale home. Hata yule mke wa mpangaji ambae ameoa, hakuwepo maana alisafiri ndani ya wiki moja tokea nihamie pale.
Ili kujaribu kupunguza mazoea na yule mwanamke, nikafikiria nitafute demu. Endapo ikitokea nimewahi kurudi ghetto, niwe na mtu wa kuniweka busy, pia nimfanye yule mwanamke wa mtani wangu apunguze mazoea
Haukupita muda mrefu sana, nikawa nimefahamiana na Mama Bahati. Japo mpaka kuja kumuweka kwenye himaya yangu ilihitaji nguvu za ziada. Na kilichofanya mlolongo uwe mrefu ni kwamba nilihisi kama vile ninacompetetion na mtu mwingine. Sikuwa na namba yake ya simu, hivyo kumpata ilikuwa ni mpaka nimlie timing sana. Hakuna kitu alichokuwa hapendi kama kusimamishwa njiani, hasa karibia na mitaa ya kwake. Alikuwa anamuogopa sana Binti yake (Bahati).
Nakumbuka kati ya siku ambazo nilishawahi ongea nae njiani, moja kati ya kauli alizokuwa anasema ni kwamba "Sitaki watu wanikute nimesimama njiani hivi". Baadae nilikuja kuelewa alikuwa anamaanisha mwanae Bahati.
Kuna sehemu nilipenda sana kutega, ila mara kwa mara kila nilipokuwa natega maeneo yale, kuna jamaa mwingine nae namuonaga maeneo yale. Na mara zote ambazo ilitokea nikamuona huyo jamaa, basi siku hiyo lazima niondoke dry bila kuonana na Mama Bahati.
Sasa kumbe na yule jamaa nae ananiona hivyo hivyo. Mara zote ambazo akinigumia Mimi mitaa ile, basi lazima mambo yake yakwame. Siku moja nilipimuona, ikabidi nimfate tuongee ili kama vipi nimuachie aendelee kufukuzia yeye. Maana Kwa uzoefu wangu, mara zote ikitokea demu anafukuziwa na watu wawili, hapo mnaweza potezeana sana muda. Nilipoenda kuongea na jamaa, kumbe yeye anamfukuzia Bahati. Na yeye alipojua situation yetu ilivyo, akacheka sana.
Jamaa: "Kwahiyo wewe ulipowaangalia yule Mama na Binti yake, akili ikakwambia uende kwa Mama mtu?"
Analyse: "Hii ni kama bufee tu, unachagua unachopenda vingine unaviruka"
Jamaa akacheka sana.
Tulipiga story kadhaa, alaf kwa kupitia Bahati jamaa ndio akanisaidia kupata namba ya Mama Bahati. Kutokea pale kila mmoja akaendelea na harakati za kuweka jimbo lake sawa. Jamaa alikuja kuwa mshikaji wangu sana tu, japo alikuwa ananikera jambo moja. Mara nyingi ilikuwa nikikutana nae anapenda kuniita "Baba mkwe". Sometime unakuta nimeenda Kiwanjani kuangalia mpira, akiniona hata kwa mbali utasikia "Niaje Baba mkwe".
Nilivyofanikiwa kumseti Mama Bahati, kuna siku akaja mpaka nilipokuwa naishi. Wakati anaingia ndani, yule mwanamke wa mtani wangu akamuona. Na hata wakati anatoka pia alimuona. Kesho yake mchana natoka misele maana ilikuwa ni jumamosi, nikamkuta yule mwanamke wa mtani wangu kakaa nje kwake pale:
Jirani: "Jirani una hatari sana wewe, kumbe wewe sio wa mchezo mchezo"
Hapa nikajua umbea unaanza sasa, huyu atakuwa anaongelea issue ya Mama Bahati tu.
Analyse: "Kwanini jirani?"
Jirani: "Ule mzigo wote ulibeba peke yako?"
Nikaishia kucheka tu.
Jirani: "Yani jirani jana nilikaa standby maana nilijua muda wowote ungehitaji hata ambulance. Nilishangaa kuona ulipata hadi nguvu za kumsindikiza"
Analyse: "Ambulance ya nini jirani, kwani tulikuwa tunapigana mle ndani?"
Jirani: "Sasa limwili lote lile, akikulalia si kifo kinakuita?"
Analyse: "Na kwanini anilalie jirani?. Maana nimemleta ili Mimi ndio nimlalie"
Jirani: "Hivi mnaipendea nini miili mikubwa kama ile, siutafute size yako?"
Analyse: "Ukiona sijaomba msaada, basi ujue ile ndio size yangu jirani"
Jirani: "Hata kama jirani, ila hii imezidi. Kamwili kenyewe hako"
Analyse: "Tatizo jirani mnayaangalia haya mambo kitofauti sana. Na nyie ndio tungewapa kazi ya kutengeneza trekta mngeiwekea matairi yote makubwa kisa inafanya kazi shambani"
Jirani (akacheka sana): "Sasa hapa trekta limeingiaje?"
Analyse: "Hujiulizi kwanini kwenye trekta tairi za nyuma na mbele hazilingani?. Ili kuongeza ufanisi, balance ni muhimu sana kwenye baadhi ya mambo"
Maongezi sikuyaendeleza sana, nikawa nimeingia kwangu. Sikuwa na pa kwenda, hivyo nililala karibia siku nzima. Mida ya jioni nikaenda nje kula, alaf nikarudi tena kulala, sikuonana na yule jirani.
Kulivyokucha nikawahi kuamka ili nifue. Wakati nafua, jirani nae akatoa vyombo nje akawa anaosha.
Jirani: "Jirani umeamkaje?"
Analyse: "Salama kabisa jirani"
Jirani: "Naona leo umeamkia kwenye udobi jirani"
Analyse: "Leo ndio siku ya kufua, ikipita Leo ndio mpaka wik end ijayo"
Hatukupiga story sana, maana simu yake iliita akaingia ndani kuipokea. Baada ya hapo kila mmoja akawa busy na mambo yake. Mida ya jioni nikaenda zangu kutembea tembea huko nje, nikala kabisa alafu giza lilivyoanza kuingia nikarudi zangu ghetto.
Nikamkuta jirani, nikamsalimia. Nikaanza kuanua nguo zangu. Wakati nataka kuingia ndani akaniambia:
Jirani: "Yani hapo ukiingia ndani ndio mpaka kesho hiyo"
Analyse: "Hii ndio mpaka kesho jirani, nje hakuna issue tena"
Jirani: "Sasa unajifungiaje ndani mapema hivyo, utoke nje wala upige story na majirani zako"
Analyse: "Nitapiga story na nani, wakati mtani wangu akirudi mtajifungia ndani"
Jirani: "Huyo yupo safari, kurudi nadhani mpaka wiki ijayo"
Analyse: "Kumbe umebaki peke yako, pole sana jirani"
Jirani: "Pole ya nini sasa, nishazoea siku hizi"
Analyse: "Sawa jirani kuna kazi naimalizia ndani hapo. Kama ukiwa bored sana utanishtua nije nje tupige story. Au kama utaweza kuja ndani sawa, maana nikiwa macho mlango wangu sifungagi"
Hakujibu kitu, na Mimi sikusubiria jibu maana nilikuwa naongea huku natembea. Nikaingia ndani. Mida ya saa tatu nikiwa zangu nimekaa mezani kwangu naandika andika. Nikamsikia jirani yangu yupo kwa mlangoni ananiita:
Jirani: "Jirani vipi umelala?"
Analyse: "Hapana jirani"
Akafungua mlango, alaf akawa kama anachungulia tu.
Analyse: "Unakaribisha mbu jirani, sina damu nyingi Mimi. Ingia ndani?"
Akaingia. Kitendo cha yeye kuingia tu, akili yangu ikabadili vitu ilivyokuwa inafikiria, ikaanza kuwaza mapenzi sasa.
Jirani: "Sasa mbona viti vyote umekalia wewe, wageni tukae wapi?"
Analyse: "Mbona sehemu zipo nyingi tu, Kaa pale (nikamuelekeza kitandani)"
Ninachopendea mashangazi ni kwamba, akili ikishajitune kwenye sex, hapawi tena na maswala ya kuvutana vutana. Sana sana atakwambia "Kazime taa au kafunge mlango". Ndivyo ilivyokuwa kwa jirani yangu. Hata taa hatukuzima, nilienda kufunga mlango tu. Nilikuja kuufungua mida ya alfajiri wakati alipotaka kurudi ndani kwake.
Palivyokucha, Mimi nilienda job kama kawaida japo siku hiyo nilichelewa sana kurudi. Nilifika ghetto kwenye mida ya saa tatu kasoro hivi, maana nilipitia na sehemu ya kula.
Wakati nafungua mlango wangu, jirani akawa ametoka nje ya mlango wake:
Jirani: "Mbona leo umechelewa sana?"
Analyse: "Nimechelewa kutoka leo, alafu pia nilipitia na sehemu ya kula. Huko nako pamechangia kuchelewa hivi"
Jirani: "Yani nimejitahidi kupika chakula kingi ili na wewe ule, kumbe nimejisumbua?"
Analyse: "Nisamehe sana, sikufahamu kama umenihesabia pia. Ila hata hivyo nisikusumbue, huwa narudi nikiwa nishakula"
Jirani: "Nani kasema unanisumbua? Wewe kama hutaki chakula changu useme tu"
Analyse: "Sio hivyo bhana"
Unajua pamoja na kwamba Mimi nimuongeaji sana, ila mwanamke akinikazia sana macho, nakuwaga na aibu. Huwa nakwepesha eye contacts kwa kuzuga kufanya vitu vingine. Na hii sometime huwa inanikutaga hata after first sex. Inakuwaga ngumu kunigundua. Ila huyu jirani yangu alinidaka:
Jirani: "Unanionea aibu au naona vibaya? Akacheka kidogo.
"Kumbe jirani una aibu hivyo?"
Analyse: "Sina aibu, ni mtazamo wako tu"
Jirani: "Basi ukitakata kulala naomba usifunge mlango"
Nikamwangalia kwa jicho la kuuliza kuna nini?
Jirani: "Kwani umechoka sana"
Analyse: "Hapana"
Jirani: "Basi fanya hivyo"
Ilikuwa kabla hata sijaingia kulala nimeenda zangu kuoga, narudi ghetto namkuta jirani kajilaza kitandani kwangu. Mguu mmoja umenyooka, mwingine kaukunja, kalalia tumbo alafu kichwa kageuzia ukutani.
Nikabaki nimesimama maana nilipatwa na mfadhaiko fulani kutokana na lile pozi. Na yeye ni kama alilijua ilo, wala hakujitingisha, akaniacha niamue mwenyewe kuendelea kushangaa au nimfate pale kitandani.
Nikamuuliza "Hivi jamaa yako umesema anarudi lini?"
Jirani: "Kama unashida nae, acha mlango wazi akija na yeye ajumuike"
Analyse: "Nahitaji uhakika, umewasiliana nae leo akasema Yuko wapi?"
Jirani: "Punguza maswali jirani unataka au hutaki?"
Sikutaka kuendelea kuongelea hizo habari, nilihofia kumpotezea mood.
Nikamsogelea alipokuwa......
** *** ***** *****
Soma muendelezo hapa:
Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri