Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo yangu ilikuwa ni Ifwagi na isipii kwasanaMkuu wewe legend kwenye kusimulia sasa ilikuwaje huyo dadaangu wa kihehe yupo wapi pia hapo ifwagi kama ulipiga kazi miaka ya hivi karibuni basi tulikuwa tunaonana maana nimeleta mbao nyingi sana kwa mshkaji wangu HAJI, BEN NGOKO, DK na wengine kabla sijawa maskini kwa kukubali kazi ya kuajiriwa ya ualimu
Hapa ukiwaambia wadau story imenunuliwa hivyo haitoendelea tena. Wanaweza wanakuroga 😅😅Nadhani toka enzi lala moko, sidhani kama nishasoma Story jf ina dialogue kali kama hii mkuu 🙌🏾🙌🏾.
Ningekuwa story or scriptwriter wa bongo movie ningekutafuta maana ndio kitu kikubwa walichokosa kwenye story zao 👏🏾👏🏾
MitarudiPortion 01:
Here We Go!
....Kwa upande wangu ni miongoni mwa wale watu wanaoamini maisha ni popote hivyo ni kawaida sana ukisikia naishi kijijini ndani ndani kabisa, cha msingi niwe naingiza hela. Kutokana na hiyo mentality, nimejikuta naishi sehemu nyingi sana hapa Tanzania.
Moja kati ya harakati zangu ilinikuta Kijiji kimoja kinaitwa Ifwagi kinapatikana wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Kule nilikuwa nafanya kazi za kuchana mbao, kuzipiga dawa, kuzipanga nk. Kwavile maisha yangu yalikuwa kule, niliamua kutafuta chumba cha kupanga ili walau niwe na sehemu ya nzuri ya kulala.
Maisha ya kijijini ni rahisi sana chumba Kodi ni 15k kwa mwezi, nikajipanga mdogo mdogo ndani ya muda mchache ghetto langu likawa full. Nikaanza maisha kama mwanakijiji tu.
Nikiwa kama na miezi sita hivi, kuna binti wa maeneo ya jirani na nilipokuwa nafanyia kazi aliitwa Ester akaanza kuwa na mazoea na Mimi. Kipindi icho alikuwa kidato cha tatu mwishoni. Ester alikuwa anaishi na Bibi yake mzaa Baba, kwao maisha yalikuwa ya kawaida tu. Bibi yake alikuwa na mgahawa, na ndiye aliyekuwa anatuuzia chakula. Hata Ester nilimuona kwa mara ya kwanza kwenye mgahawa wa bibi yake.
Mazoea kati yetu yalipozidi nikamuomba namba, tukawa na uwezo wa kuwasiliana hata kama hayupo mgahawani. Tukawa ni watu tunaoweza chat kwa muda mrefu sana, japo hatukuwa wapenzi na sikuwa nimemtongoza.
Siku moja nikiwa zangu ghetto, tulichat chat, then nikawa nimemwambia kama yuko free aje ghetto. Akasema kuna kazi anamalizia, kisha akiweza kuja ataniambia.
Sheria yangu ni moja, huwezi kunitembelea alafu nikuache uende. Kama ukiwa period, basi nitashika hata ziwa.
Mida ya saa kumi Ester akanitext kwamba anakuja.
Alivyofika, story za hapa na pale. Nikaset mazingira, akajaa. Harakati zikaanza. Baada ya kama nusu saa, tayari nguo zake zote zilikuwa pembeni. Ila cha ajabu kila nikianza kuzamisha mashine, Ikiingia kidogo tu, ananizuia. Kuna muda niliona anazingua, nikaamua kutumia nguvu.
Yeye pia akaamua kuresist kwa nguvu, ikawa sasa kama tunapigana. Nakumbuka katika zile purukushani, alining'ata shingoni hadi nikahisi nakata moto, ikabidi nimuache kwanza.
Ikabidi nimuulize "Una ngoma?". Akanijibu yeye ni bikra. Nikamwambia vaa uende kwenu, maana pale tungezidi kupotezeana muda, alaf ni mwanafunzi, nikiambiwa nimebaka itakuwa imekula kwangu.
Akavaa na kusepa.
Alivyofika home kwao akaanza kuomba msamaha kwamba alikuwa anaumia ndio maana alikuwa ananizuia, hivyo nisimchukulie vibaya. Nikaamua kumpotezea.
Tokea siku hiyo hata ile kasi ya kuchat nae ikapungua. Nikaamua kukomaa na magume gume yangu tu, maswala ya unaenda kusex na mtu anakung'ata siyawezi.
Akawa analalamika kwamba amemuona fulani anatoka chumbani kwangu, mara siku hizi sina muda nae nk. Jibu langu likawa moja tu, akomae na shule,muda wake utafika.
Kuna siku akaniambia amesikia wanafunzi wenzake wanasema kama akimeza Panadol kabla ya sex maumivu hayatokuwa makali. Nikamjibu yeah ni kweli, ameze Panadol kisha aje. Akasema sawa.
Siku hiyo alivyoniambia anakuja, mashine nikaipaka mafuta ya nazi alafu nikavaa nguo, nikatulia tuli. Alivyokuja wala sikumpa muda wa kunisumbua, uwanja ukazinduliwa rasmi.
Tokea pale mahusiano yakashamiri.
Ester alitokea kunielewa sana, na kadiri siku zilivyoenda ndivyo alivyozidi kunielewa. Alikuwa anapenda sana kuniuliza kuhusu nilipotoka, alipenda kujua mipango yangu nk. Kiufupi story zake zilikuwa ni tofauti kabisa na umri wake au wasichana wengi wa umri wake.
Siku moja tukiwa ghetto ikabidi na Mimi nitake kujua kuhusu yeye zaidi.
Kulingana na maelezo yake, baba yake anamjua kwa picha tu. Hata kuongea nae ni mara chache sana, na hapo ni mpaka yeye Ester ampigie.
Baba yake ni mzaliwa wa kule Mufindi, ila kuna kipindi alikuwa anaishi Tanga (Mzee wake ni mwanajeshi). Kipindi akiwa Tanga, ndipo alipokutana na Mama yake Ester, akampa mimba alafu akaondoka maana alihamishiwa Arusha. Na alipoambiwa habari za mimba, aliikataa.
Mama yake Ester baada ya kujifungua aliishi na Ester mpaka alipomaliza darasa la Saba ndipo akampeleka kwa Bibi yake. Kabla hajampeleka, aliwasiliana na Baba yake Ester , ila mshua bado aliendelea kumkataa kwamba sio mtoto wake. Bibi (Mama yake na Baba Ester) aliposikia tetesi za kijana wake kuacha mtoto kule Tanga, ikabidi afunge safari mpaka kule ili kujiridhisha. Alipomuona Ester kwa mara ya kwanza, Wala hakuhitaji maelezo yoyote toka kwa mwanae, maana binti alifanana sana na baba yake.
Hapo ndipo alipomuomba Mama Ester kama atakubali, basi amchukue akaishi nae. Kutokana na maisha yake hayakuwa mazuri, mama Ester alikubali. Hapo ndio Ester akatoka Tanga na kwenda kuishi Mufindi.
Ester akaniambia familia yote ya baba yake kila wakimuona wanasema kabisa huyu ni damu yao, ila ajabu Baba yake bado hakumkubali.
Ester: "Unajua kwanini nakupenda sana?"
Mimi: "Sijui"
Ester: "Moyo wangu umetokea kukuamini sana. Naamini kwako nipo sehemu sahihi"
Mimi: "Kipi kimekufanya unaamini?"
Ester: "Hata sijui kwa kweli, ila nakuamini sana"
Ikabidi nibaki kimya tu, sikuwa na mipango yoyote na yeye. Niliyachukulia ni kama mahusiano mengine tu ya kawaida. Sikutaka kumdisappoint, hivyo sikuweza kumuambia ninachowaza. Nilikuwa na Imani maneno anayoyaongea ni kutokana na umri wake bado mdogo, mbeleni akili yake ingejanjaruka na kupata wadau wengine alafu Mimi na yeye tutemane.
Mimi niliwaza hivyo, ila yeye aliwaza vingine. Ambacho sikujua ni kwamba yeye aliona vitu ambavyo Mimi sikuviona hapo kabla. Tena aliviona kwa namna ambayo Mimi sikuwahi kuvifikiria, japo Mimi ndio nilikuwa mkubwa kwake kwa miaka 6+
Soma next portion hapa: Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri
Isipii tena ukitaja mwaka bas nimefanya na wewe kazi kule kidilu na isipii yote nimechana na kudalalia nguzo kutoka ikonongo, ifupira, mdabulo ndo nimesoma, ikanga, ihanu, ibwanzi, isipii, lulanda, me home kilosa mufindi lakini kijana una kipaji cha uandishi hata usokami kwenye mkaa ninechoma sana hadi ugesa mapanda hata nzivi ulikosimulia siku za nyuma najilaumu tu kukubali kuajiriwa nimepoteza kila kituMaeneo yangu ilikuwa ni Ifwagi na isipii kwasana
likinifikia kabla ya jumapili itapendezaNitakununulia wewe ilo 😅😅😅
Ok aposto kazi iendeleeNisamehe mambo ni mengi, nashindwa kutag watu wengi at once
Nilijua tu🤣🤣 haya tuhadithie ulivyotupangiaNtakiruka 😉😉
Ushakuwa baba Bahati!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Ila huyo jirani mmbea km mimi sipendi kupitwa aiseee.!! Mi na chabo ningepiga nione unavyo-push tandam hilo awwweh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]