Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

'natakiwa kulipia tena maana mle sio sehemu ya kujificha'...
😂😂 - ila askari wetu..!!🙌

Best quotes so far:
"Sikia mdogo wangu, chochote unachofanya basi jua kitaleta matokeo mbeleni, yawe mazuri au mabaya. Yanayokutokea sasa, ni matokeo ya uliyokuwa unafanya, huna wa kumlaumu"

"Bahati inawapendelea waliojiandaa hata kama mpo wengi wenye vigezo"

"Sipo kwa ajili ya kusawazisha makosa yako. Na hakuna anayeweza kuyasawazisha zaidi yako wewe mwenyewe. Tafuta namna"

gracias muchos Analyse
 
Back
Top Bottom