Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Portion 19:

....Alivyopanda juu ya meza, na miguu pia nikaikunja na kuipandisha juu ya meza. Akawa amejiegemeza ukutani ili kupata balance, sikutaka mambo yawe mengi nikatoa kobilo na kumpelekea, japo ilikuwa slow slow maana show za juu ya meza hukawii kugongesha kende. Baada ya muda nikaona ameng'ata midomo alafu amefumba macho, nikamuuliza unaumia? Hakujibu kitu.

"Kama unaumia niambie". Bado hakunijibu kitu. Nikaendelea kumpelekea tu, ila nikawa nahisi lile pozi litakuwa linamtesa. Nikamwambia twende kitandani, akagoma " Hapana, tubaki hapa hapa". Nikimwangalia naona kabisa jinsi miguu ilivyokaa atakuwa anapata tabu, nikaamua kumsogezea kiti karibu. Mguu wake mmoja nikauweka juu ya kiti alafu ule mwingine nikashusha chini, ukawa unaning'inia kwenye kona ya meza.

Tukaendeleza show.

Kuna muda nikahisi kama wakoloni wanataka kuja, ikabidi nichomoe kobilo alafu nikamgeuza pale mezani. Akapiga magoti kisha akaurudisha mzigo kwa nyuma mpaka kwenye ukingo wa meza nilipokuwa. Nikamwambia anyooshe mikono kabisa kuelekea mbele mpaka inapoishia meza, hakuwa na pingamizi.

Mpaka tunamaliza show, style ilikuwa ni hiyo. Baada ya hapo akaenda kunawa kisha akajilaza kitandani. Mimi nikaenda kuoga alafu nikamjoin kitandani, nikawa nachezea simu ila yeye yupo kimya kajilaza tu.

Nikaandaa chakula akaja tukawa tunakula wote. Baada ya kula akaenda kuoga ili ajiandae kuondoka. Nikasubiria anakaribia kumaliza kuoga, na Mimi nikaingia bafuni. Nikamkumbatia kwa nyuma alafu nikawa namminya chuchu, akanipa ushirikiano. Akageuka upande wangu tukaanza kukiss. Nikaunyanyua mguu mmoja na kuuweka juu ya ndoo, lengo ni kuifanya miguu yake itanuke kidogo. Tukiwa tunaendelea na kisses nikaachana na chuchu, nikaanza kumchezea K mdogo mdogo. Nikazamisha kidole kisha nikakikunja na kuibinya sehemu ya juu ya ndani. Ghafla akaushusha ule mguu uliokuwa juu ya ndoo, akawa amenibana mkono wangu. Nikasitisha lile zoezi. Wakati nataka kuuhamishia mkono wangu sehemu nyingine ya mwili wake, akarudisha mguu wake juu ya ndoo alafu akaudaka mkono wangu na kunipa ishara niendelee na nilichokuwa nafanya.

Nikakirudisha kidole ndani ya K huku tunaendelea kukiss. Wakati kisses zinaendelea, naona mtoto anaenda chini. Nikasmile maana alikuwa anaenda kufanya kitu ninachopenda. Kabla hata sijamaliza kuwaza, kobilo ilikuwa mdomoni kwake.

Baada ya kuwa mashine imeitika sana, akageuka na kushika ukuta akaniachia mgongo ili niendelee. Nikamsogezea ndoo maana angeshika ukuta asingeinama sana. Baada ya kushika ndoo, nikamwambia akunje magoti kidogo urithi wake wote akawa kaususa mbele yangu. Nikazamisha kobilo. Show iliponoga nikamwambia tutoke bafuni, tuhamie sehemu rasmi. Nikawa nampeleka kitandani, akagoma anataka twende tena mezani. Wala sikubisha.

Alivyofika akataka kupanda juu ya meza akae pozi kama la mwanzo. Nikamzuia, nikampandisha mguu mmoja tu, ule mwingine ukabakia chini. Nikazamisha mashine, nasikia anaguna tu "Ssshs". Sikuwa natumia nguvu nyingi nilikuwa napump taratibu, kiasi kwamba ikiingia anaisikia, ikitoka anaisikia. Nikataka kumbadilisha pozi, akanigomea "Endelea plz usiache".

Show ilipoisha tukaenda kuoga tena, alafu akarudi kujilaza kitandani.

Kwenye mida ya saa tatu ndio akawa anajiandaa kuondoka. Nikamuuliza vipi ile nusu gharama ya laptop aliyotaka kunirudishia?

Katrina: "Kwahiyo nikupe shilling ngapi?"

Mimi: "Utakayoona tu"

Akatoa 50k akanipa,

Katrina: "Mimi sina zaidi ya hii bhana"

Nikajifanya kusikitika, ila nikaipokea. Chaja yenyewe nilinunua 20k kwa jamaa yangu. Akaaga na kuondoka.

Usiku huo huo kabla sijalala ikaingia msg toka kwa Katrina "Yani jinsi ulivyo huendani kabisa na mambo unavyofanya"

Mimi: "Kwani nipoje? Na mambo gani nimefanya?"

Katrina: "Unaonekana kama mtu fulani mpole na mstaarabu sana, ila mmh nahisi una kilometa za kutosha"

Mimi: "Kilometa za nini?"

Haikujibiwa hiyo msg, nikaamua kulala.

Kesho yake ilikuwa jumapili ila hakunicheki kabisa, na Mimi sikumcheki. Mida ya jioni Mzee wake (Mr. B) akanipigia simu na kuuliza mbona sionekani siku hizi. Nikamwambia kuna kazi zinaniweka busy, ila soon nikiwa free lazima nikamuone. Akanitakia tu heri pale, tukaishia hivyo. Hiyo wiki yote sikuwasiliana kabisa na Katrina. Kiufupi tokea siku aliyoondoka pale ghetto, tulivyochat kidogo usiku ndio ikawa n'tolee mpaka nikawa najiuliza au nimeharibu?

Wik end iliyofatia jumamosi Katrina hakunicheki, hata nilivyompigia hakupokea hivyo nikaenda jogging peke yangu. Jioni ya siku hiyo nikaenda kwao kuonana na Mzee wake, kama kawaida alinipokea vizuri na tukapiga story za hapa na pale.

Niliongea na Mr. B kwa muda mrefu, mpaka kwenye mida ya saa mbili hivi. Wakati nakaribia kuondoka akaniuliza kitu:

Mr. B: "Hivi nje ya masuala ya kazi au kuja hapa, muda wako huwa unautumia vipi hasa hizi wik end?"

Mimi: "Mara nyingi nakuwaga tu nyumbani kwangu"

Mr. B: "Mwenza wako yuko wapi?"

Sikutarajia kabisa lile swali toka kwake, nikajikuta natabasamu tu bila kusema chochote.

Mr. B: "Unajua ukiwa katika umri huu mdogo ndio muda wa kuanzisha familia, sielewi kwanini vijana wengi hamtaki kusikia ilo jambo"

Mimi: "Ni swala la muda tu, haliepukiki ilo Mzee"

Mr. B: "Ila muda ndio huu, unasubiria muujiza gani mbeleni?. Inabidi upate mtu ili unyanyuke nae pamoja".

Nikabaki kimya tena, maana hii mada huwa inanifanya nisiwe comfortable.

Mr. B: "Hivi ushawahi hata kufikiria kuoa?"

Mimi: "Kuna muda mawazo hayo yananijia, japo sijawahi kuyawaza kwa uzito"

Mr. B: "Sikia Amphibian, (akakaa kimya kidogo)...Najua katika pita pita zako kuna siku utaanza kufikiria kuoa, am not sure kama nitakuwa sahihi kwa ninachotaka kusema, ila ningeomba ukiwa unatafuta mtu wa kuoa, mfikirie pia na binti yangu"

Moyo ulilia Pa! Sikuwahi kuexpect aseme vile. Nilishtuka kiasi kwamba nilishindwa kuuficha mshtuko wangu hadi yeye akauona.

Mr. B: "Calm down Amphibian, sijakwambia umuoe, nimesema put her into consideration"

Ikabidi nimuitikie tu, but I was 100% sure kwamba siwezi kumuoa binti yake. Sikuwa kwenye mahusiano ya aina yoyote kwa wakati ule, na sikupanga kuingia kwenye mahusiano. Nilikuwa katika kipindi ambacho nimejipa likizo ya mahusiano. Kauli ya Mr. B iliniondolea utulivu, kiasi kwamba akili yangu ikawa kama imesizi hivi.

Baada ya kuona sielewi elewi alafu pia muda pia umeenda, nikaona niage ili niondoke. Ila kabla hata sijanyanyuka pale tulipokuwa tumekaa, ikaingia msg kwenye simu yangu. Kuangalia imetoka kwa Katrina:

"Kumbe vikao vyenu vya kila wik end ndio usenge unaomwambiaga Mzee huo? Futa hayo mawazo kichwani mwako"

Kabla ya kusoma ile msg, hisia zangu ziliniambia huyu Katrina lazima kuna kitu itakuwa kamwambia Mzee wake. Ila hii msg yake ikanibadilisha mtazamo. Huyu Mzee sijui haya mawazo aliyatoa wapi. Au amehisi kitu kati yetu? Lakini ili wazo nikalipinga, maana hakuna namna ambayo ingemfanya ahisi chochote. Hata hivyo ilikuwa ni jambo lililotokea mara moja tu, kinyume na hapo hatunaga mazoea.

Nikaaga na kuondoka.

Tokea nifahamiane na Katrina hatukuwahi kuongea usiku, ila siku hiyo ilibidi tuongee tu. Maana ile nakaribia home tu akanipigia:

Katrina: "Mambo gani yale ulikuwa unaongea na Mzee?"

Mimi: "Nikuulize wewe, maana hajawahi kuongelea habari za namna ile tokea nimfahamu"

Katrina: "Kulala na wewe haikupi mamlaka yoyote juu yangu. Ile ilitokea tu sababu ya mazingira, ila nina mahusiano yangu. Kama kuna kitu chochote ulishaanza kukifikiria kichwani mwako kuhusu sisi, basi kifute"

Mimi: "Sasa mahusiano yako Mimi yananihusu nini? Sielewi Mzee wako ili wazo amelitoa wapi. Na kama kuna mtu amempa, basi ni wewe"

Katrina: "Nimpe ilo wazo ili iweje? Sasa wewe jitoe akili, alafu endelea kudanganyana na yule Mzee"

Mimi: "Sasa najitoa akili kwa lipi?. Wewe ndio unatakiwa uniambie yale mawazo kayatoa wapi"

Katrina: "Mtajijua wenyewe. Ila nakuapia, labda awe na binti mwingine wa kukuozesha. Ila kama ni Mimi, basi amkeni kwenye hiyo ndoto mnayoota maana haitotimia"

Baada ya hapo akawa amekata simu. Nikabaki napiga hesabu zangu kichwani, kama Katrina hajamwambia chochote Mzee wake, na Mimi sijasema chochote, alafu pia kila mmoja hamtaki mwenzake, it means hakuna ndoa hapa. Sikuwa tayari kwa alichoshauri Mr. B, na sikuona kama ni jambo linalowezekana. Amani ikanirudia, nikaplay movie mwenye laptop kutafuta usingizi.


** ** ***** ** ****

Kesho yake jumapili sikutoka kabisa nje. Mida ya mchana akanipigia simu Mzee Moyo:

Mzee Moyo: "Bwana mdogo umenisahau sana siku hizi"

Mimi: "Ni kweli Mzee, majukumu tu ila naomba unisamehe"

Mzee Moyo: "Nafahamu majukumu ni mengi ila yasikuweke mbali na watu, maana pindi ukipoteza uwezo wa kufanya hayo majukumu, ni watu ndio utakaowahitaji"

Mimi: "Nimekuelewa Mzee wangu. Vipi mnaendeleaje hapo nyumbani?"

Mzee Moyo: "Sisi tuko wazima kabisa, mama ameniambia nikukaribishe Pasaka uje kuilia huku"

Mimi: "Mwambie Mama nashukuru sana, ngoja niweke ratiba zangu vizuri alafu nione kama nitaweza kuja"

Mzee Moyo: "Jitahidi uje, hatujaonana muda mrefu sasa".

Mimi: "Sawa Mzee wangu, nitajitahidi sana"

Baada ya kukata simu nikaanza kuangalia ratiba zangu zilivyokaa ili nione kama naweza pata gape la kwenda Songea. Namuheshimu sana huyu Mzee, sikupenda kupuuzia wito wake.

Niliendelea kutulia ghetto huku naandika portion kwa ajili ya kupost JF, maana ni kipindi icho ndio nilikuwa naandika Ile story ya kina Mzee Dingi.

Baada ya kutafakari sana, nikaona sitoweza kwenda Songea maana nilihitajika niende Dar kuweka vitu flan sawa kwenye ile kampuni tuliyoanzisha. Ikabidi nimpigie Mzee Moyo kumtaarifu sitoweza kwenda siku ya Pasaka, ila nitajitahidi wik end moja niende. Akawa amenielewa.

Ile wik end ya Pasaka ndio nilipanga kwenda Dar, maana huwa ina siku nyingi za mapumziko. Ilivyofika nikajiandaa tayari kwa safari.

Nilianza safari kwenye mida ya saa tano asubuhi hivi siku ya jumamosi. Mida ya saa moja kasoro nilikuwa ndani ya jiji la Dar. Kile kigari nilichopanda kilinishusha ubungo mataa pale, nikasogea mdogo mdogo mpaka maeneo ya river side lengo ikiwa nichukue usafiri utakaoweza kunifikisha maeneo ya uhasibu. Nilipata Bajaj zinazoenda Mbagala, nikawa nimepanda. Kufika maeneo ya buguruni Chama nikakuta kuna ajali, hivyo kulikuwa na foleni. Dereva Bajaj akajitahidi kupenya penya, ila kabla hatujafika Tazara, tukasimamishwa na askari (trafik).

Bajaj ikawekwa pembeni, nikawa najiuliza kama vipi nishuke ili niangalie ustaarabu mwingine wa kuwahi ninapoenda. Kutokana na ajali iliyokuwa imetokea hivyo eneo lile askari walikuwa wengi. Nilivyoshuka nakutana uso kwa uso na askari ambaye namfahamu.

Ni mmoja kati ya wale waliokuwa wanatumiwa na Mzee KY. Jamaa kuniona ikawa kama kaokota fuko la hela, akanivuta pembeni na kuniingiza kwenye gari. Nikajaribu kutaka kumpoza ili aniachie niendelee na safari yangu, ila akagoma. Akasema muda wa kupeana hela bado haujafika.

Safari yangu ikafa, nikaanza kuzunguka na lile gari la doria. Nilizunguka nao kuanzia ile mida mpaka kwenye saa kumi alfajiri. Kiufupi ule mkesha wa Pasaka nilikesha na polisi. Kufika muda ule alfajiri, jamaa wanahitaji hela ili waniachie. Mfukoni nilikuwa na 40k tu, wao wakawa wanataka 120k. Maana wanasema ile 40 hazitoshi wao kugawana, isitoshe pakikucha ni sikukuu.

Bembeleza sana, ila hawaelewi. Wakachukua ile 40 alafu yule askari aliyenishika akasema kesho nijitahidi niwapelekee kiasi kilichobaki. Alivyoniachia, akawa amebaki na begi langu la mgongoni lenye laptop pamoja na external disk. Nikajaribu kumuelezea kwamba vile ni vitu muhimu huko ninapokwenda, jamaa anasisitiza kama kweli ni vya muhimu basi nijitahidi niwapelekee hela yao mapema.

Ikabidi nimuache abaki navyo. Akanipa namba yake kisha nikaondoka.

Kipindi hicho nipo kwenye hizo kash kash, sikuweza kupost muendelezo wa ile story niliyokuwa naandika huku JF. Siku mambo yalivyopoa nikarudi online, nakuta raia wameshanitukana vya kutosha wakiongozwa na Dejane, Hope comfort, litro, evonik na OppoA17k. Jazba zimewajaa, wanadai muendelezo.

Sikuweza kuwalaumu sana, maana hawakujua yaliyotokea upande wangu. Na sikuona haja ya kuelezea chochote kwa wakati ule. Nikawawekea muendelezo wao na maisha yakaendelea....


"Kumbe vikao vyenu vya kila wik end ndio usenge unaomwambiaga Mzee huo? Futa hayo mawazo kichwani mwako"
 
Kutoa fedha pilisi kwa kosa sijafanya walai nitaenda na wahusika bampa tu bampa na huwa nawaeleza bila kificho. Hata kwake nitafanya majivu I swear nimkose mzazi ama wana
Mkuu kama unataka yaishe uendelee na mishe zako ww wape tu hao jamaa Huwa wanasema wanazaidi ya makosa 1000 ambayo Yako wazi kukubambikia kwahiyo wee wape tu usepe zako hawashindwi kukubambikiza kosa ambalo hujafanya likakupotezea muda wako,, niwashenzi sana hao jamaa. Si Kila aliyeko mahabusu ama jera kwamba ametenda kosa wengi wamo humo kwa makosha ya kubumbiwa
 
Back
Top Bottom