Nilikutana na consultant wa ule mradi, alinieleza kuwa aliyelazimisha kuwekwa nondo za 10mm badala ya 16mm alikuwa mmiliki eti kwa lengo la kuokoa gharama.Engineer kuweka nondo ya mm 10 kwenye ghorofa ni chuo gani alisomea
Sawa , hzo lift hazina notification Mzee , kwamba ikiwa overweight Haimove ?? Labda kama ni lift ya mwaka 70 , modern lift zpo more sensitive , hzo sio gari za mwendokasi , mbna we ndo primitive
Hata Hidery Plaza posta mpya miaka ya 2016 hapo walikuwa na kondakta wa kucontrol kabisa anashinda kwenye lift humo humo.
Utaboresha na afya yoko Mkuu!Hapa Ofisi ni gorofa ya 8 natarajia kuanza mazoezi ya kupanda ngazi kuanzia leo. Actually sa 10 nashuka kwa ngazi 🙂🙂🙂
Hahahaha! Ila bora hivyo maana konda anahakisha abiria hawajai kwenye lift .Yupo last 2022 nilimkuta Konda na Kiti chake
AU kama za Mwenge na GongolambotoHawakusoma maelekezo? au wamezoea kushonana kwenye gari za mbagala.......pole yao.
kesho kutwa itakuwa ghorofa sasaHiyo mitaa kuna shetani mtoa roho anatembea, jana mtu kajirusha na leo lift imeporomoka
Angekuwepo angefanyaje ??? Usiwe kama huntha bhanaMtanikumbuka 😀😀
Bora mfumo huu urudiwe.Hata Hidery Plaza posta mpya miaka ya 2016 hapo walikuwa na kondakta wa kucontrol kabisa anashinda kwenye lift humo humo.
DuhNilikutana na consultant wa ule mradi, alinieleza kuwa aliyelazimisha kuwekwa nondo za 10mm badala ya 16mm alikuwa mmiliki eti kwa lengo la kuokoa gharama.
Mshauri baada ya kuona Utaalamu umewekwa pembeni ili mlazimu kuvunja Mkataba ili kulinda Profession yake
Ni hatari, ni muhimu hiyo ajali ichunguzwe kwa kina
Ni kweliNi hatari, ni muhimu hiyo ajali ichunguzwe kwa kina
INAWEZEKANA HATA USIJUE KAMA LIFTI INAANGUKA KWASABABU UKIWA NDANI WALA HUELEWI KINACHOENDELEA.
Majeruhi wakamatwe walipe gharama za matengenezo.
Haiwezekani watu wazidi wakati idadi inajulikana
Duuh watu wanasimama kwenye ndege?Hii ipo sana Nigeria
Nigeria hovyo sana, hata kuingia kwenye ndege mnakimbizana kuwahi seat kama tunavyopanda daladala MbagalaDuuh watu wanasimama kwenye ndege?