Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Engineer kuweka nondo ya mm 10 kwenye ghorofa ni chuo gani alisomea
Nilikutana na consultant wa ule mradi, alinieleza kuwa aliyelazimisha kuwekwa nondo za 10mm badala ya 16mm alikuwa mmiliki eti kwa lengo la kuokoa gharama.

Mshauri baada ya kuona Utaalamu umewekwa pembeni ili mlazimu kuvunja Mkataba ili kulinda Profession yake
 
Duh
 
Hakukua na ngazi hapo?ila wabongo tunapenda kujiendekeza mazoez yenyewe sifuri hata kupanda ngazi shida nayo,haya poleni sana wahanga.
 
Back
Top Bottom