cha unoko majuu
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 131
- 75
Lucky they are all alive only slightly injured and shocked. Wishing them quick recovery. AminDuh! Ndugu reporter hiyo lift ilikua floor ya 10 kweli wakati inaporomoka! Dah! Kama naiona mioyo yao ilivyokwenda mbio wakati huo....
Kuna Floor za jengo refu pale posta ni kama gari za mbagala zinajaa mpaka kingora kinalia watu ndio wanapungua.. afu watu wapunguze uvivu floor 1 & 2 sio ya kupanda lift.Hapo sipati picha walivyokuwa wakimuita Mungu au Mama zao maana kutoka 10 hadi mwisho wa lift sio kazi ya kitoto
Mkuu
"Jeshi la Zimamoto limesema........ lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni "
Kwa hiyo haikuwa mbovu uzito ulizidi ndiyo sababu
Kabla ya kuwekwa hizo, ilikuwepo lift moja inazungua balaa, inaweza ikafika sehemu husika mkakaa humo hata dakika 2 ndio inafungukaLift za kichina hizo.
Kuna lift pale mlimani hall two na five. Zikizidiwa zinajifunga break. Sasa wachina wa vodafasta hata jinsi ya kuweka break hawajui.
umeandika mavimaviPole sana kwa majeruhii, ni muhimu kufuata instruction manual kama imesema watu 10 basi ni hao,
Pia wenye jengo wasisahau kuwaita osha kwa ajili ya ukaguzi, lakini pia maintenance ya mara kwa mara ni muhimu
Hata mimi naomba iwe hivyo kwa kweli na pia je ilikuwa ghorofa ya ngapi?.Haina tofauti na kuanguka kwa ndege labda tofauti ya ndege moto unaweza waka.Natumaini waliokuwemo wamenusurika!
Najaribu kupata picha ya "free fall" kutoka gorofa ya 10, ni hatari sana yaani unakiona kifo hiki hapaWatu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.
Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.View attachment 2633244
Hilo ndo haswa nilikuwa naliongelea, maana 9.8mps inahusika hapoNajaribu kupata picha ya "free fall" kutoka gorofa ya 10, ni hatari sana yaani unakiona kifo hiki hapa
Kabisa...Lift haiwezi kudondoka kwa namna hiyo..Shame! Lift iliyo na viwango haiondoki uzito ukizidi. Mwenye jengo achukuliwe hatua.
Waweza kupaishwa hadi kwenye dari ya lift ati!Najaribu kupata picha ya "free fall" kutoka gorofa ya 10, ni hatari sana yaani unakiona kifo hiki hapa