Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Lift nyingi hazina service especially haya magorofa ambayo yako chini ya wabongo lift zao uhuni mwingi
Wala siyo jambo la kushangaa kuona hiyo ikitokea hapo
Na kuna lile jengo la life house mjini
Hivi lifti yake wameirekebisha

Ova
 
Kwa kweli ifike wakati Watanzania tuache mazoea kabisa, tufuate maelekezo.
Mtanzania akifuata science na maelekezo na kuacha kuwa kichwa ngumu mashamba na limbukeni niamshe mie naenda kulala . Alafu akiacha uongo na unafiki na udokozi hata tia watu hasara kama hii ya lift kuporomoka kwani utakuta kuna mtu alilipwa kufanya service na anapokea pesa bila kupepesa macho Ukimbana atasema ni ajali ya mungu
 
Lift ya uhakika sio za kubumba ikihisi imepita uzito haitakiwi isogee. Na haitakiwi idondoke hata umeme ukate au kitu gani, hiyo itakuwa ni malfunction hata kama imezidishiwa kiwango. Lift nyingi mjini ni za watu 8-10. Shida labda hawakufanya service, labda ni shida ya mtengenezaji specs alizoweka au materials, labda ni mafundi waliofunga au nyingine.

Ni rare case ila sio ajabu sana
 
Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.

Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.View attachment 2633244
Millennium Towers ndio like jumnba la Barrick Gold?
 
Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.

Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.View attachment 2633244
Watz tunapenda sana kubanana Sijui kwanini?.Kuna Mwenzetu humu ameandika uzi unaouliza kwanini Watanzania wengi tunapenda kubanana?.
 
Inatokea ghafla, utatafuta hicho chuma saa ngapi, tena siku hizi hatubandui macho kwenye simati phone
Gravity forces unazisikia ikiwa inashuka unakuwa kama kwenye free fall motion. Ila lift za mjini hazina vyuma juu labda pembeni nyingi ziko smooth hata unajiona
 
Hawakusoma maelekezo? au wamezoea kushonana kwenye gari za mbagala.......pole yao.
Usiandike kwa kukurupuka unajua capacity ya lift hio inabeba tonne ngapi au watu wangapi na hao watu jumla wana uzito gani

Kuna jengo hapa posta lift yake capacity tonne 1 lakini imeua mtu mmoja tu alipanda pekeake

Hao watu sidhani kama walifikia hata capacity ya lift ila ajari tu
 
Back
Top Bottom