Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Ni tabia mbaya sana kumzushia mtu kuwa amekufa, hata kama ni adui yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikulu iache kufanya mambo ya msingiMpaka sasa Ikulu haijasema chochote kama alikuwa mgonjwa au la sasa unapowalaumu hawa wabongo mbona hueleweki
Siyo kweli bro. People wako pissed off badly!! Pita kwenye social media nenda kasome vizuri. Hata vijiweni watu walikuwa wana wish for a bad thing.
Ni wakati kama kweli yule tuliyemuona ni yeye akirekebishe. No body loves him except proxy mercenaries
Hata wakati wa single party bado watu walijaribu kumpindua mwalimu..not once, not twice! Hata kama wote tuko upande mmoja, hatuwezi kuwa pamoja.There is nothing wrong with for a country to be polarized. That is the nature of politics and government. You would not expect the whole country to be of single mindedness like automatons! Politics by its very nature is disruptive and divisive. I don't have any problem for people opposing Magufuli or not liking his leadership style or ideas.. that is part of politics! The only way we can have an "almost" united nation is to be like China or Cuba... single party, single leader, single direction.. no dissent, no divisions...
Sawa cheti feki siyo mimi wa kwanza tuko wengi. Hata yeye PhD yake ni feki ndiyo maana kumuua Ben Saanane alipohoji. Na mwanaye Bashite naye kafoji jina la Makonda.Tuelezane tu ukweli..wewe, au babako au sponsa wako ni muhanga wa vyeti feki, ufisadi au makenikia?
Hakuna siku kurugenz ya mawasiliano ikulu imeweza kama leoKwa akili ya kiwango cha chini twaweza kuwaona waajabu sana lakini sio hivyo!
Aliye anzisha huo uvumi naweza kusema kashinda kwa maksi za juu sana.
Kwanza kaonyesha UBOVU NA UDHAIFU wa kurugenzi ya habari Ikulu. Hii kurugenzi ina sifa za kukanusha haraka sana mambo ya kijinga lakini imeshindwa kukanusha hili la kuugua au kutoa taarifa. Maana hata kama Rais hakujisikia vizuri kwa uchovu mbona wangeweza kujibu haraka kuwa kazidiwa uchovu kwa kazi za mfululizo na pole angezipokea na sifa ya kufanya kazi kwa bidii!
Pili wameruhusu hisia mbaya kuhusu Rais wetu kupata nafasi kuenezwa maana hata hao waliokuwa wanaombea mabaya sio kusemea hawana hoja, wanazo tena nzito na wamepata nafasi ya kuzisema kwa wazi zaidi.
Hao mnaowataja wameongea kwenye mijadala hiyo kama mihemko tuu, lakini wapo waliokuwa kwenye mkumbo huo wakumuombea mabaya na wako karibu naye kabisa huku nyuso zao zikicheka naye ila mioyo haipo naye.
Mambo bado, kuwa mpoleHakuna siku kurugenz ya mawasiliano ikulu imeweza kama leo
Ilikuwa ni lazima ikae kimnya, isijibizane kwa maneno ifanye vitendo
Once and for all
Wimbo wa kuwa tetesi za mitandaoni sio za kuziamini umekuwa ukiimbwa muda mrefu lakin watu hawajifunzi
Leo kwa mara ya kwanza nakutana na watu wanajilaum "Dah nilimwambia mama,naanzaje kumfafanulia kuwa ilikuwa uongo "
Mtu kama huyo, haj kurudia tena kuwaamini wanaharakat uchwara wa mitandaoni
Akina Gerson wamefanya kaz leo, ambayo itawafanya wapumzike na kelele za wanaharak uchwara kwa muda mrefu,labda kiibuke kizazi kingine cha wanaharakati, ila hawa waliopo wamepoteza credibility kabisa
Hawa wajinga ufahamu wao umemezwa na chuki za kisiasa na hawajui possible damage itakayolikumba taifa ya hiki walichokifanya.Zitto, Maria Tsehai Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Godbless Lema, Vincent Mashinji na ndugu yao Kigogo...watu Wa ajabu sana
Kwahyo na wewe unaamini kuwa alipelekwa Ujerumani kutibiwa sababu Ikulu haijasema chochote? Sio kila Ujinga/uzushi lazima ujibiwe na Ikulu,majibu mazuri ndio Kama hayo yaliyotokea leoMpaka sasa Ikulu haijasema chochote kama alikuwa mgonjwa au la sasa unapowalaumu hawa wabongo mbona hueleweki
Tulipolazimishwa/kukubali kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila kujiandaa kama taifa, wenye uelewa wa masuala ya saikolojia walijua kitatokea nini?
Siasa za vyama vingi kwenye nchi ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa zimezalisha taifa lililogawanyika katika pande mbili. Hakuna political meeting point ambayo inabeba hoja za pande mbili.
Mtu anayedhani Taifa limegawanyika katika utawala wa awamu ya tano atakuwa haijui vizuri Tanzania na siasa zake.
Hoja ya kusema tuwe na national dialogue ni ndoto za mchana katika mazingira yaliyozaa taifa linaloitwa Tanzania!
Kurugenzi ilifanya vizuri ili ujinga watu fulani ambao wengi wamekuwa wakiaminiwa uwe dhahili.Kwa akili ya kiwango cha chini twaweza kuwaona waajabu sana lakini sio hivyo!
Aliye anzisha huo uvumi naweza kusema kashinda kwa maksi za juu sana.
Kwanza kaonyesha UBOVU NA UDHAIFU wa kurugenzi ya habari Ikulu. Hii kurugenzi ina sifa za kukanusha haraka sana mambo ya kijinga lakini imeshindwa kukanusha hili la kuugua au kutoa taarifa. Maana hata kama Rais hakujisikia vizuri kwa uchovu mbona wangeweza kujibu haraka kuwa kazidiwa uchovu kwa kazi za mfululizo na pole angezipokea na sifa ya kufanya kazi kwa bidii!
Pili wameruhusu hisia mbaya kuhusu Rais wetu kupata nafasi kuenezwa maana hata hao waliokuwa wanaombea mabaya sio kusemea hawana hoja, wanazo tena nzito na wamepata nafasi ya kuzisema kwa wazi zaidi.
Hao mnaowataja wameongea kwenye mijadala hiyo kama mihemko tuu, lakini wapo waliokuwa kwenye mkumbo huo wakumuombea mabaya na wako karibu naye kabisa huku nyuso zao zikicheka naye ila mioyo haipo naye.
Nimependa hapo kuwa kila President huwa ana "double" wake. Hata muvi ambazo huwa zina president's double yule ORIJINO PRESIDAA huwa ni mtu wa hovyo hovyo, wa ajabu ajabu halafu double wake huwa tofauti kabisa.Ule uvumi umetufundisha mambo mengi; lakini kubwa ni kuwa mashine ya kuchakatia uzushi ilichakata sana jana.. lakini leo imeshindwa kuendelea. Baada ya Rais wa Watu kutokea leo akiwa na afya njema na kufanya kitu ambacho watu walitakiwa kukidhania kingefanyika (baada ya kufanya uteuzi) basi ule uvumi ulitakiwa ubadilike na kunogeshwa namna hii...
Kwa mfano,
Huyu wa leo siyo Magufuli ni double wake. Si unajua kila Rais ana "double" wake yaani mtu anayefanana naye kwa kila namna. Na huyu double tunaweza kusema alienda akafanyiwa "plastic surgery" huko Cuba na amekuwa akitumika mara kwa mara...
Kwamba, baada ya kuugua alikimbizwa Afrika ya Kusini, ambako alipanda ndege ya mwendo kasi hadi Ujerumani alikofanyiwa matibabu, halafu akapandishwa ndege nyingine ya haraka na kurudi Ikulu Dar ambako alipokelewa kwa njia ya siri kupitia mlango ulioko baharini - akitokea meli ya nyambizi (submarine)..
Kwamba, tukio la leo kwa kweli halikuwa "live" ila lilirekodiwa kabla hajaugua na kuwa limeunganishwa vipande vipande kidigitally. Rais mwenyewe ameendelea mapumzikoni huko pembezoni mwa Milima ya Alps, Uswisi.
Yaani, ukishaamua kutunga uongo usiishie njiani, endelea nao hadi uonekane ni ujinga na watu wachukulie kama ni burudani fulani. Nje ya hapo jambo kubwa la kujifunza ni kuwa Rais Magufuli ule ulinzi labda hautoshi... kuna watu siyo tu wanaweza kuwa wanapanga mabaya, lakini wanayaombea, wanayasubiria, na kila waendapo kulala wanayaotea...
Ila ule uzushi ungenoga kama leo ungeendelea kidogo kuleta mantiki maana nilivyoona anashabikia sambusa na wasaidizi wake kama kuna kuumwa basi labda alipiga chafya tu kubwa watu wakashtuka na "kiwanda cha uvumi" kikaingia kazini.. Yaani, mtu hata kiungulia asipate.. na hakuna aliyefikiria hata ile connection ya suala la DPP uzito wake?
Sasa rais jamani hata chafya asipige. "Tuambiwe haraka alipiga chafya kubwa kiasi gani" , "Ni raisi wetu sote tunataka kujua kwa haraka... "
We unaonaje huu uvumi ungenoga noga vipi leo baada ya Jeuri ya Rais kuonekana leo..?
Nani anamtaka huyo?Ni kakikundi kadogo sana tena kanakomtapeli kwa KUMSIFIA Kwani anapenda kusifiwaPamoja na mapungufu yake, leo nimegundua waTz wengi bado wanamhitaji aendelee kuwaongoza......
Hapana, tuna mfumo wa vyama vingi takribani miaka 30 sasa.Tulipolazimishwa/kukubali kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila kujiandaa kama taifa, wenye uelewa wa masuala ya saikolojia walijua kitatokea nini?
Siasa za vyama vingi kwenye nchi ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa zimezalisha taifa lililogawanyika katika pande mbili.
Hakuna political meeting point ambayo inabeba hoja za pande mbili.
Mtu anayedhani Taifa limegawanyika katika utawala wa awamu ya tano atakuwa haijui vizuri Tanzania na siasa zake.
Hoja ya kusema tuwe na national dialogue ni ndoto za mchana katika mazingira yaliyozaa taifa linaloitwa Tanzania!
Thank you Sir! I can't agree moreWe can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.