Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Mpaka sasa Ikulu haijasema chochote kama alikuwa mgonjwa au la sasa unapowalaumu hawa wabongo mbona hueleweki
Ikulu iache kufanya mambo ya msingi

Ijibu tetesi za waliosema rais alikuwa ujerumani leo na wakataja had chumba alichokuwepo?

Tunapiga kazi, hatuna muda wa kujibu kila mnachozusha, lengo lenu linajulikana ni kututoa kwenye reli
 
Tuelezane tu ukweli..wewe, au babako au sponsa wako ni muhanga wa vyeti feki, ufisadi au makenikia?
 
Wapinzani tz wamekuwa kama mateja sio wakuwaamini, wamekuwa mateja wa kuokota habari, sera hawana wamekuwa watu wa matukio ya kipuuzi ili kuzua taarukitaaruki
Wanaona ikulu ni sehemu rahisi rahisi tu! Mtahangaika ila ikulu mtapasikia kwenye bomba.
 
Hata wakati wa single party bado watu walijaribu kumpindua mwalimu..not once, not twice! Hata kama wote tuko upande mmoja, hatuwezi kuwa pamoja.
 
Hakuna siku kurugenz ya mawasiliano ikulu imeweza kama leo

Ilikuwa ni lazima ikae kimnya, isijibizane kwa maneno ifanye vitendo

Once and for all

Wimbo wa kuwa tetesi za mitandaoni sio za kuziamini umekuwa ukiimbwa muda mrefu lakin watu hawajifunzi

Leo kwa mara ya kwanza nakutana na watu wanajilaum "Dah nilimwambia mama,naanzaje kumfafanulia kuwa ilikuwa uongo "

Mtu kama huyo, haj kurudia tena kuwaamini wanaharakat uchwara wa mitandaoni

Akina Gerson wamefanya kaz leo, ambayo itawafanya wapumzike na kelele za wanaharak uchwara kwa muda mrefu,labda kiibuke kizazi kingine cha wanaharakati, ila hawa waliopo wamepoteza credibility kabisa
 
Mambo bado, kuwa mpole
 
Zitto, Maria Tsehai Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Godbless Lema, Vincent Mashinji na ndugu yao Kigogo...watu Wa ajabu sana
Hawa wajinga ufahamu wao umemezwa na chuki za kisiasa na hawajui possible damage itakayolikumba taifa ya hiki walichokifanya.
 

Tatizo kubwa sio mfumo wa vyama vingi, bali ni chama tawala kulazimisha kuwepo madarakani bila ridhaa ya wengi. Inaonekana chama tawala kulikubali kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila chenyewe kuwa tayari kwa hilo. Matokeo yake wananchi wengi wamesharidhia hali hiyo, huku chama tawala kikilazimisha kubaki chenyewe au madarakani kwa njia ya kunajisi box la kura. Hali hiyo inachangia mvutano na mgawanyiko usio wa lazima hasa anapotokea rais asiyeheshimu kutofautiana kimitazamo.
 
Kurugenzi ilifanya vizuri ili ujinga watu fulani ambao wengi wamekuwa wakiaminiwa uwe dhahili.
Hawa watu na elimu zao washindwa kuelewa nini waseme na wapi.
Hii kasumba ya kutazamia majibu huwa haiongopei aliyekuwa anawapa majibu alikuwa ameyaandika kwa penseli walipomaliza kujaza akafuta na kuandika majibi sahihi
Ndio maana mmoja amejitekenya na kucheka kwa kusema.
""Zz umeniingiza mtegoni"
 
Nimependa hapo kuwa kila President huwa ana "double" wake. Hata muvi ambazo huwa zina president's double yule ORIJINO PRESIDAA huwa ni mtu wa hovyo hovyo, wa ajabu ajabu halafu double wake huwa tofauti kabisa.

Ukimuangalia Magufuli wa leo ni mpoleee...

Kuenjoy zaidi ishu hii ya President's double/doppleganger angalia muvi zifuatazo

1. DAVE 1993
2. THE DICTATOR 2012
3. THE GREAT DICTATOR 1940 (CHARLIE CHAMPLIN)
 
Uvumi kama upepo inchi ilisimama though kwa wale wenye access ya socail media uko vijijini wao walikuwa hawana hili wala lile
 
Pamoja na mapungufu yake, leo nimegundua waTz wengi bado wanamhitaji aendelee kuwaongoza......
Nani anamtaka huyo?Ni kakikundi kadogo sana tena kanakomtapeli kwa KUMSIFIA Kwani anapenda kusifiwa
 
Hapana, tuna mfumo wa vyama vingi takribani miaka 30 sasa.
Nyerere, Mkapa, Mzee Mwinyi, Kikwete waliugua pia. Nini kimebadilika leo?
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
Thank you Sir! I can't agree more
Watanzania wanapenda kuongelea matukio, hawataki kufanya analysis ya tukio.

Uvumi si tatizo, ni kitu kilichopo ndani ya jamii kila siku.

Katoto kana dege dege uvumi unasambaa kuna mzee alikuwa anaongea usiku mwenyewe, kumbe hapa Kicheba, network shida mzee alipanda kwenye kamlima kutafuta network

Hoja ya kufikirisha, ni matokeo ya uvumi na picha inayopatikana
Uvumi ''umetoa picha'' , umefungua vifua na kuona nini kilichomo

Tusijadili uvumi kwani umethibitika ni uvumi hauna maana na habari njema kila kitu ni salama, lakini je, tunajifunza nini kutokana na uvumi huo? tumefikaje hapa? Kwanini hivi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…