balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kwa hiyo wachezaji wa nje wanaipandisha ligi yetu au kwao walikotoka?Ulitaka Kizimkazi awe hapo sita? Huoni wakongo walivyojazana kwenye ligi yetu?
Leo tukitoa wachezaji wa nje hapa bongo hakuna mpira tunadanganyana tu
Wakija kwetu ina maana kwao bado hawana thamani kihivyo wangekuwa wana thamani wangecheza hapo.Kwa hiyo wachezaji wa nje wanaipandisha ligi yetu au kwao walikotoka?
Kwa hiyo wachezaji Bora wa ligi zao hawana thamani? Inonga alikuwa beki Bora DRC ,Aziz Ki n Pacome MVP Ivory coast, Nzengeli MVP,Mayele second top scorer nk.Hawakuwa na thamani kwao hao?Wakija kwetu ina maana kwao bado hawana thamani kihivyo wangekuwa wana thamani wangecheza hapo.
Weka source nione.Kwa hiyo wachezaji Bora wa ligi zao hawana thamani? Inonga alikuwa beki Bora DRC ,Aziz Ki n Pacome MVP Ivory coast, Nzengeli MVP,Mayele second top scorer nk.Hawakuwa na thamani kwao hao?
Hakuna tatizo mtu kutoa mtazamo wake lakini kinachoangaliwa na nani kasema, wapi na ni wakati gani.tatizo hapo nini? si ameongea fikra zake, kwani watu weusi wangapi wanajita wao sio waafrika na wa ulaya mbona hamulalamiki? Unamkumbuka Baloteli alizungumza nini alipopewa ofa ya kucheza timu ya Ghana?
Unatetea hata jambo ambalo ni la kweli kisa eti ni waarabuHuwa nashangaa sana mtu anaongea bila facts withevidence, hii mitandao inawapotosha sana.
Hakuna tatizo mtu kutoa mtazamo wake lakini kinachoangaliwa na nani kasema, wapi na ni wakati gani.
Baloteli alifuata maokoto tu.
maokoto gani? Balotelli aliukana kabisa uafrica akasema yeye sio Muafrika, Na alichukuliwa Poa tu kwa vile ni mtu mweusi, Ila muarabu anaetoka Africa akisema yeye si muafrika munaana kulia lia mitandaoni Ubaguzi.
Mtu mpumbavu kama wewe huwezi elewa kitu!maokoto gani? Balotelli aliukana kabisa uafrica akasema yeye sio Muafrika, Na alichukuliwa Poa tu kwa vile ni mtu mweusi, Ila muarabu anaetoka Africa akisema yeye si muafrika munaana kulia lia mitandaoni Ubaguzi.
Mtu mpumbavu kama wewe huwezi elewa kitu!
2023/2024 ndiyo kwanza hata ligi hazijamalizika kwa baadhi ya nchi haijaanza.Imeandikwa 2023/2024!
Morocco once applied for European Union membership and were rejected! Every African must support Bafana Bafana! #AFCON2023
Ninaamini tunaizidi DRC kwa kila kitu, katika Aspect ya ligi kuu.Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.
1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.
Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Hakuna kosa ku-apply kosa ni kukana U-Afrika wakati nchi ipo Afrika.kuna kosa gani wao ku apply huko? je vipi na nyinyi wabongo kama mungekua na nafasi kama hiyo musingejaribu bahati yenu? Chuki zitakuuwenu wakuu
Siyo suala la inferiority bali ndiyo ukweli. Captain alisema Morocco siyo nchi ya kiafrika ila ni nchi ya Ulaya hivyo kushawishi ijitoe CAF.